Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Nyikani mpaka mbugani..milimani hadi tambarare.. This is SIMBA[emoji176]
giphy.gif
 
Nafikiri sub ya dejan kumuweka phiri itakuwa nzuri zaidi, namuona dejan kwenye game hajachangamka kama phiri.

Tamaa yangu ilikuwa kuwaona chama, okrah na okwa pamoja jamaa wanavitu nafikiri kutafuta magoli ndo kilichobaki.
#Nguvumoja
 
Sijui kocha wetu aliwaza Nini mpaka kuweka wachezaji wa akiba watatu
 
Back
Top Bottom