Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Aug 31, 2022 #1 Mchezo ni saa 2 usiku Lineup ya Simba
Kommando muuza madafu JF-Expert Member Joined Aug 30, 2022 Posts 3,216 Reaction score 7,254 Aug 31, 2022 #2 Mechi ya kimataima. Unakimbia wapi wewe mzee?
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Aug 31, 2022 Thread starter #3 Dakika ya 3 ya mcgezo Al Ahly wanafanya shambulizi hapa katika lango la Simba lakini mpora unatoka nje na kiwa goal kick
Dakika ya 3 ya mcgezo Al Ahly wanafanya shambulizi hapa katika lango la Simba lakini mpora unatoka nje na kiwa goal kick
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Aug 31, 2022 Thread starter #4 4' Dejan anapokea cross kutoka kwa banda lakini anadhibitiwa na mlinzi wa Al Ahly
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Aug 31, 2022 Thread starter #5 Moderator naomba mfanye marekebisho hiyo heading isomeke kimataifa
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Aug 31, 2022 #6 Defensive middle wako wapi?
danhoport JF-Expert Member Joined May 20, 2020 Posts 1,984 Reaction score 4,502 Aug 31, 2022 #7 Scars said: Moderator naomba mfanye marekebisho hiyo heading isomeke kimataifa Click to expand... Teyari
Scars said: Moderator naomba mfanye marekebisho hiyo heading isomeke kimataifa Click to expand... Teyari
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Aug 31, 2022 Thread starter #8 Mabeki wa Simba bado wanaka udhaifu fulani hivi
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Aug 31, 2022 #9 Adolph hitler jr said: Gooooal Click to expand... umerukwa akili?
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Aug 31, 2022 Thread starter #10 OKW BOBAN SUNZU said: Defensive middle wako wapi? Click to expand... Mechi ya leo ni ngumu, Simba wakifanya mzaha kama walivyofanya siku ile tunapigwa
OKW BOBAN SUNZU said: Defensive middle wako wapi? Click to expand... Mechi ya leo ni ngumu, Simba wakifanya mzaha kama walivyofanya siku ile tunapigwa
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Aug 31, 2022 Thread starter #11 10' Mpira unachezwa eneo la Simba
T Truth sniper Senior Member Joined Jan 22, 2012 Posts 130 Reaction score 202 Aug 31, 2022 #12 OKW BOBAN SUNZU said: umerukwa akili? Click to expand... Labda kapigwa yeye
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Aug 31, 2022 Thread starter #13 Mpira una matumizi makubwa ya nguvu, Gadiel yuko chini wakati mchezaji wa Al hilal naye yuko chini, refa anashindwa ampe faida nani
Mpira una matumizi makubwa ya nguvu, Gadiel yuko chini wakati mchezaji wa Al hilal naye yuko chini, refa anashindwa ampe faida nani
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Aug 31, 2022 Thread starter #14 17" Gadiel Michael anatoka baada ya kushindwa kuendelea na mchezo kutokana na majeraha aliyoyapata
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Aug 31, 2022 Thread starter #15 18' Nelson Okwa anaingia kuchukua nafasi ya Gadiel Michael ambaye ametoka muda mfupi baada ya kupata majeruhi
18' Nelson Okwa anaingia kuchukua nafasi ya Gadiel Michael ambaye ametoka muda mfupi baada ya kupata majeruhi
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Aug 31, 2022 #16 Scars said: Mechi ya leo ni ngumu, Simba wakifanya mzaha kama walivyofanya siku ile tunapigwa Click to expand... Hapa tunapigwa nyingi, sub wachezaji watatu 🤣🤣🤣
Scars said: Mechi ya leo ni ngumu, Simba wakifanya mzaha kama walivyofanya siku ile tunapigwa Click to expand... Hapa tunapigwa nyingi, sub wachezaji watatu 🤣🤣🤣
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Aug 31, 2022 Thread starter #17 Enonga kwa pasi hii, sijui
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Aug 31, 2022 Thread starter #18 21' Freekick wanapata Al hilal
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Aug 31, 2022 Thread starter #19 Shuti la freekick ni Offtarget
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Aug 31, 2022 #20 Simba nao sometimes, Kanoute ilikuwaje asiwe na pass miezi yote hii