Mechi ya kirafiki Yanga Vs KMC

Nimecheka sana,halafu sikujua kama leo wamecheza

Maumivu yatakuwepo japo kidogo

Wamepigwa 3 kwa sifuri, wachezaji wao wameongezeka uzito sana, wengine kgs 10, wengine 15, wamekuwa kama mabaunsa.

Shadeeya atakuwa amekuwa na jioni ngumu leo.
 
Wachezaji wa Yanga walikua wanafanyiwa fattening
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…