KAMA KAWAIDA YETULeo Yanga wanaendelea kucheza mchezo wa kujipima nguvu na kujiandaa na michuano ya klabu bingwa afrika hatua ya awali ambapo watacheza na township rollers tar 10 siku ya jumamosi mpaka naandika thread hii matokeo Yanga anaongoza goli 3 kwa 0 wafungaji wakiwa Sibomana goli la kwanza,la pili amefunga Juma balinya na goli la 3 amefunga Sydney
Bora Mlandege uwanja wa Amani umetapika..sio zile mechi zenu SA mashabiki vitiTownship rollers mnakwenda kujipima na mlandege kweli halafu mnajisifia goli 3
Walikuwa wanacheza na hoteliers.Bora Mlandege uwanja wa Amani umetapika..sio zile mechi zenu SA mashabiki viti
Yale SA mazoezi. Mechi lazima kuwe na mashabiki majukwaaniWalikuwa wanacheza na hoteliers.
Katika Rank ya CAF hii Mlandege ni ya ngapi?Leo Yanga wanaendelea kucheza mchezo wa kujipima nguvu na kujiandaa na michuano ya klabu bingwa afrika hatua ya awali ambapo watacheza na township rollers tar 10 siku ya jumamosi mpaka naandika thread hii matokeo Yanga anaongoza goli 3 kwa 0 wafungaji wakiwa Sibomana goli la kwanza,la pili amefunga Juma balinya na goli la 3 amefunga Sydney
Leo tunakipiga na Malindi muda kama janaLeo Yanga wanaendelea kucheza mchezo wa kujipima nguvu na kujiandaa na michuano ya klabu bingwa afrika hatua ya awali ambapo watacheza na township rollers tar 10 siku ya jumamosi mpaka naandika thread hii matokeo Yanga anaongoza goli 3 kwa 0 wafungaji wakiwa Sibomana goli la kwanza,la pili amefunga Juma balinya na goli la 3 amefunga Sydney