mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,658
- 8,994
Leo Yanga wanaendelea kucheza mchezo wa kujipima nguvu na kujiandaa na michuano ya klabu bingwa afrika hatua ya awali ambapo watacheza na township rollers tar 10 siku ya jumamosi mpaka naandika thread hii matokeo Yanga anaongoza goli 3 kwa 0 wafungaji wakiwa Sibomana goli la kwanza,la pili amefunga Juma balinya na goli la 3 amefunga Sydney