uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Jana kwa mara ya kwanza Ronaldo alianza kwenye mechi ya ligi uko Uarabuni
Ila imekuwa mechi mbaya sana kwake katika historia ya soka kwake. Cristiano Ronaldo katika mara 35 alivyogusa mpira ndani ya dkk 90
Mipira 20 alipoteza
Mipira kumi akatoa pasi
Mipira minne akabutua nje akashindwa kumlenga hata golikipa. Hali hii ilipelekea mashabiki kuanza kunong'ona pembeni kuuliza huyu ni Ronaldo kweli au tumeletewa copy yake?
Imagine ligi ya uswekeni Ronaldo anashindwa kupiga hata shot on target tena kocha wake akiwa amemuondolea jukumu la kukaba kasimama mbele tu
Huyu Ronaldo kwanini hataki kukubali kama kajiishia? Anataka mashabiki tufanyaje