Mechi ya kwanza ya ligi kwa Cristiano Ronaldo ni balaa tupu, mashabiki waliohudhuria waanza kunong'ona pembeni. Ashindwa hata kumlenga golikipa

Mechi ya kwanza ya ligi kwa Cristiano Ronaldo ni balaa tupu, mashabiki waliohudhuria waanza kunong'ona pembeni. Ashindwa hata kumlenga golikipa

Jana kwa mara ya kwanza Ronaldo alianza kwenye mechi ya ligi uko uarabuni

Ila imekuwa mechi mbaya sana kwake katika historia ya soka kwake. Cristiano Ronaldo katika mara 35 alivyogusa mpira ndani ya dkk 90

Mipira 20 alipoteza
Mipira kumi akatoa pasi

Mipira minne akabutua nje akashindwa kumlenga hata golikipa. Hali hii ilipelekea mashabiki kuanza kunong'ona pembeni kuuliza huyu ni Ronaldo kweli au tumeletewa copy yake?

Imagine ligi ya uswekeni Ronaldo anashindwa kupiga hata shot on target tena kocha wake akiwa amemuondolea jukumu la kukaba kasimama mbele tu

Huyu Ronaldo kwanini hataki kukubali kama kajiishia? Anataka mashabiki tufanyaje
Anapiga hela ya mwarabu.
 
Would have been better if he retire with honor. The guy has already spent much of his energy in Real Madrid and he won everythings there Including back to back of UEFA, not to mention the seasons he spent in Man U and Juventus. By the way I think his age doesn't allow him to be on pitch anymore. But like any other human, He considers to have Money first, Honor leter. It's always that way.
Absolutely!
 
Jana kwa mara ya kwanza Ronaldo alianza kwenye mechi ya ligi uko Uarabuni

Ila imekuwa mechi mbaya sana kwake katika historia ya soka kwake. Cristiano Ronaldo katika mara 35 alivyogusa mpira ndani ya dkk 90

Mipira 20 alipoteza
Mipira kumi akatoa pasi

Mipira minne akabutua nje akashindwa kumlenga hata golikipa. Hali hii ilipelekea mashabiki kuanza kunong'ona pembeni kuuliza huyu ni Ronaldo kweli au tumeletewa copy yake?

Imagine ligi ya uswekeni Ronaldo anashindwa kupiga hata shot on target tena kocha wake akiwa amemuondolea jukumu la kukaba kasimama mbele tu

Huyu Ronaldo kwanini hataki kukubali kama kajiishia? Anataka mashabiki tufanyaje
Al Nassr waliamua kuchagua umaarufu(C. Ronaldo) na kuutupa mkono ushindi(V. Aboubakar) na watakandwa sanaaa.
 
Ukiwa katika jukwaa kuu kwa muda mrefu na kuzoea miujiza uliyokuwa ukitenda kwa muda wote sidhani Kama utakuwa na amani hasa pale namba zinapokataana.
kwa Athlete yoyote mkubwa hawezi kubali yaishe wazi wazi.
Mpira ni yeye na ndio chaguo la kwanza ....atabadili wanawake na timu ila sio kuachana na mpira.
#Muda na Nafasi
 
Asante Mungu cr7 back in his form,kafunga leo
Japo dah Talisca kapewa red card sjui itakuaje mana ye ndo anaibebaga Al nassir
 
Back
Top Bottom