uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Kumbe wee mpenzi wa ronaldoInaumiza sana jamani
Ronaldo alikufannya nini wewe dada?Jana kwa mara ya kwanza ronaldo alianza kwenye mechi ya ligi uko uarabuni
Ila imekuwa mechi mbaya sana kwake katika historia ya soka kwake. Christiano ronaldo katika mara 35 alivyogusa mpira ndani ya dkk 90
Mipira 20 alipoteza
Mipira kumi akatoa pasi
Mipira minne akabutua nje akashindwa kumlenga hata golikipa. Hali hii ilipelekea mashabiki kuanza kunong'ona pembeni kuuliza huyu ni ronaldo kweli au tumeletewa copy yake?
Imagine ligi ya uswekeni ronaldo anashindwa kupiga hata shoot on target tena kocha wake akiwa amemuondolea jukumu la kukaba kasimama mbele tu
Huyu ronaldo kwann hataki kukubali kama kajiishia? Anataka mashabiki tufanyaje
MnoooInaumiza sana jamani
Wala sio money first,its just his character,he doesnt gve up easily,very stubborn too. He is in denial pia,sio rahisi kukubali guys.Would have been better if he retire with honor. The guy has already spent much of his energy in Real Madrid and he won everythings there Including back to back of UEFA, not to mention the seasons he spent in Man U and Juventus. By the way I think his age doesn't allow him to be on pitch anymore. But like any other human, He considers to have Money first, Honor leter. It's always that way.
Ongeza na MessiWenzake akina Pepe, Thiago Silva, nk bado wanakinukisha mpaka leo!
Imekua mechi mbaya umeangalia goli lililofungwa assist alitoa nani?Jana kwa mara ya kwanza ronaldo alianza kwenye mechi ya ligi uko uarabuni
Ila imekuwa mechi mbaya sana kwake katika historia ya soka kwake. Christiano ronaldo katika mara 35 alivyogusa mpira ndani ya dkk 90
Mipira 20 alipoteza
Mipira kumi akatoa pasi
Mipira minne akabutua nje akashindwa kumlenga hata golikipa. Hali hii ilipelekea mashabiki kuanza kunong'ona pembeni kuuliza huyu ni ronaldo kweli au tumeletewa copy yake?
Imagine ligi ya uswekeni ronaldo anashindwa kupiga hata shoot on target tena kocha wake akiwa amemuondolea jukumu la kukaba kasimama mbele tu
Huyu ronaldo kwann hataki kukubali kama kajiishia? Anataka mashabiki tufanyaje
Tatizo la Ronaldo ni ubishi. Ameshatumia nguvu nyingi ndani ya miaka yake yote aliyocheza mpira. Mwili umechoka! Hivyo anatakiwa kupumzika.
Wenzake akina Pepe, Thiago Silva, nk bado wanakinukisha mpaka leo! Siyo kwa sababu umri haujawatupa! La hasha!! Kinachowasaidia, hawakutumia nguvu kubwa kama yeye.
Ushauri; ifikie wakati akubali kustaafu kwa heshima, ili ale mafao yake vizuri na familia yake.
Jana kwa mara ya kwanza ronaldo alianza kwenye mechi ya ligi uko uarabuni
Ila imekuwa mechi mbaya sana kwake katika historia ya soka kwake. Christiano ronaldo katika mara 35 alivyogusa mpira ndani ya dkk 90
Mipira 20 alipoteza
Mipira kumi akatoa pasi
Mipira minne akabutua nje akashindwa kumlenga hata golikipa. Hali hii ilipelekea mashabiki kuanza kunong'ona pembeni kuuliza huyu ni ronaldo kweli au tumeletewa copy yake?
Imagine ligi ya uswekeni ronaldo anashindwa kupiga hata shoot on target tena kocha wake akiwa amemuondolea jukumu la kukaba kasimama mbele tu
Huyu ronaldo kwann hataki kukubali kama kajiishia? Anataka mashabiki tufanyaje
Hata ungekuwa ww Ungeacha yale maehela yote!?Tatizo la Ronaldo ni ubishi. Ameshatumia nguvu nyingi ndani ya miaka yake yote aliyocheza mpira. Mwili umechoka! Hivyo anatakiwa kupumzika.