uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
- Thread starter
-
- #21
CR7 HUYU HUYU WA KOMBE LA DUNIA AU MWINGINE?
Kwani Ronaldo anamjua huyo taahira wa Tandahimba!?Huyu mzee mwenzangu angepumzika kulinda heshima. Ona hapa anatukanwa na kijana kutoka Tandahimba Nakurukuru
Yaani mwenzio anatafuta hela wewe unauliza anataka mashabiki mfanyaje? Si umshabikie tu Musonda, kwani lazima Ronaldo?Huyu Ronaldo kwanini hataki kukubali kama kajiishia? Anataka mashabiki tufanyaje
Anapiga hela ya mwarabu.Jana kwa mara ya kwanza Ronaldo alianza kwenye mechi ya ligi uko uarabuni
Ila imekuwa mechi mbaya sana kwake katika historia ya soka kwake. Cristiano Ronaldo katika mara 35 alivyogusa mpira ndani ya dkk 90
Mipira 20 alipoteza
Mipira kumi akatoa pasi
Mipira minne akabutua nje akashindwa kumlenga hata golikipa. Hali hii ilipelekea mashabiki kuanza kunong'ona pembeni kuuliza huyu ni Ronaldo kweli au tumeletewa copy yake?
Imagine ligi ya uswekeni Ronaldo anashindwa kupiga hata shot on target tena kocha wake akiwa amemuondolea jukumu la kukaba kasimama mbele tu
Huyu Ronaldo kwanini hataki kukubali kama kajiishia? Anataka mashabiki tufanyaje
Absolutely!Would have been better if he retire with honor. The guy has already spent much of his energy in Real Madrid and he won everythings there Including back to back of UEFA, not to mention the seasons he spent in Man U and Juventus. By the way I think his age doesn't allow him to be on pitch anymore. But like any other human, He considers to have Money first, Honor leter. It's always that way.
Baada ya hapo?Poor ronaldo i feel sorry for him
Al Nassr waliamua kuchagua umaarufu(C. Ronaldo) na kuutupa mkono ushindi(V. Aboubakar) na watakandwa sanaaa.Jana kwa mara ya kwanza Ronaldo alianza kwenye mechi ya ligi uko Uarabuni
Ila imekuwa mechi mbaya sana kwake katika historia ya soka kwake. Cristiano Ronaldo katika mara 35 alivyogusa mpira ndani ya dkk 90
Mipira 20 alipoteza
Mipira kumi akatoa pasi
Mipira minne akabutua nje akashindwa kumlenga hata golikipa. Hali hii ilipelekea mashabiki kuanza kunong'ona pembeni kuuliza huyu ni Ronaldo kweli au tumeletewa copy yake?
Imagine ligi ya uswekeni Ronaldo anashindwa kupiga hata shot on target tena kocha wake akiwa amemuondolea jukumu la kukaba kasimama mbele tu
Huyu Ronaldo kwanini hataki kukubali kama kajiishia? Anataka mashabiki tufanyaje
Acha kujipa umuhimu kwenye mambo ya watuAl Nassr waliamua kuchagua umaarufu(C. Ronaldo) na kuutupa mkono ushindi(V. Aboubakar) na watakandwa sanaaa.
Acha kuleta trako kwenye mtarimbo wa watuAcha kujipa umuhimu kwenye mambo ya watu
Bila pwenatwii hoiiiAsante Mungu cr7 back in his form,kafunga leo
Japo dah Talisca kapewa red card sjui itakuaje mana ye ndo anaibebaga Al nassir
Asante Mungu cr7 back in his form,kafunga leo
Japo dah Talisca kapewa red card sjui itakuaje mana ye ndo anaibebaga Al nassir