Nilifikiri ni Jemedari Said tu anayeamini kuwa derby ya Tanzania imebaki kati ya Yanga na azam, kumbe na wananchi wengine wanaamini hivyo! Kwa mujibu wa Jemedari, Simba ameshajitoa kwenye upinzani wa timu za Tanzania na yupo kwenye upinzani wa timu za nje ya Tanzania, na wengine waliobaki nchini watatafutiana derby miongoni mwaoKuelekea Derby Kali hapa Africa mashariki Azam vs Yanga ( wananchi)
Haina shida mkuu.siunakumbuka enzi tuko na dabi na utopolo tuliwagonga tano bila mkuu.Yaaah mkuu ila tutakuwa tunakandwa 6..0
ndio mkuu.sasa hivi off side nikona mkuuuEnzi hizo off-side zilikuwa goal
Umeliwa,azam atapigwa 3-1Mimi huwa sibashiri kwa tambo na ubishi wa kishabiki, badala yake huwa natumia fursa hiyo kuweka mzigo. Leo naweka mapema kabisa correct scores tatu tofauti;
3-2
2-3
2-2
Nilifikiri ni Jemedari Said tu anayeamini kuwa derby ya Tanzania imebaki kati ya Yanga na azam, kumbe na wananchi wengine wanaamini hivyo! Kwa mujibu wa Jemedari, Simba ameshajitoa kwenye upinzani wa timu za Tanzania na yupo kwenye upinzani wa timu za nje ya Tanzania, na wengine waliobaki nchini watatafutiana derby miongoni mwao
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.Kuelekea Derby Kali hapa Africa mashariki Azam vs Yanga ( wananchi) Mimi kama mtaalamu wa soka hapa jf namsishi kocha wa kolo fc aitazame Kwa umakini .....huenda anaweza kujifunza baadhi ya mbinu za kumsaidia kumtwanga Al ahly
Mbinu atakazo jifunza akiitazama Azam vs wananchi
Matumizi ya speed kwenye mpira, kama inavyofahamika kuwa Yanga wanacheza pira speed ...hii itasaidia robertinho kwenda ku emphasize speed huko ukoloni hence kuwafunga waarabu
Kukaba , hii ni Kwa sababu ya uwepo wa ukuta wa yericko pale Yanga ....utamfanya Robertinho kupata mbinu za kupanga ukuta Bora kabisa
NB: Maendeleo hayana Chama....tujifunze Kwa waliotuzidiView attachment 2790187
Bado tu unaendeleza kilio chako cha kichawi cha ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!! ukisaidiana na Nalia ngwena!! Kisa? Uchawi umegonga mwamba ullioichuria simba ifungwe na Al Ahly lakini haikutokea!!Kuelekea Derby Kali hapa Africa mashariki Azam vs Yanga (wananchi) Mimi kama mtaalamu wa soka hapa jf namsishi kocha wa kolo fc aitazame kwa umakini, huenda anaweza kujifunza baadhi ya mbinu za kumsaidia kumtwanga Al Ahly.
Mbinu atakazo jifunza akiitazama Azam vs wananchi.
Matumizi ya speed kwenye mpira, kama inavyofahamika kuwa Yanga wanacheza pira speed ...hii itasaidia robertinho kwenda ku emphasize speed huko ukoloni hence kuwafunga waarabu.
Kukaba , hii ni Kwa sababu ya uwepo wa ukuta wa yericko pale Yanga, utamfanya Robertinho kupata mbinu za kupanga ukuta Bora kabisa.
NB: Maendeleo hayana Chama, tujifunze kwa waliotuzidi.
View attachment 2790187