Mechi ya leo Robertinho anaweza okota mbinu za kupiga Al Ahly

Mechi ya leo Robertinho anaweza okota mbinu za kupiga Al Ahly

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kuelekea Derby Kali hapa Africa mashariki Azam vs Yanga (wananchi) Mimi kama mtaalamu wa soka hapa jf namsishi kocha wa kolo fc aitazame kwa umakini, huenda anaweza kujifunza baadhi ya mbinu za kumsaidia kumtwanga Al Ahly.

Mbinu atakazo jifunza akiitazama Azam vs wananchi.

Matumizi ya speed kwenye mpira, kama inavyofahamika kuwa Yanga wanacheza pira speed ...hii itasaidia robertinho kwenda ku emphasize speed huko ukoloni hence kuwafunga waarabu.

Kukaba , hii ni Kwa sababu ya uwepo wa ukuta wa yericko pale Yanga, utamfanya Robertinho kupata mbinu za kupanga ukuta Bora kabisa.

NB: Maendeleo hayana Chama, tujifunze kwa waliotuzidi.

1698054903104.jpg
 
Kuelekea Derby Kali hapa Africa mashariki Azam vs Yanga ( wananchi)
Nilifikiri ni Jemedari Said tu anayeamini kuwa derby ya Tanzania imebaki kati ya Yanga na azam, kumbe na wananchi wengine wanaamini hivyo! Kwa mujibu wa Jemedari, Simba ameshajitoa kwenye upinzani wa timu za Tanzania na yupo kwenye upinzani wa timu za nje ya Tanzania, na wengine waliobaki nchini watatafutiana derby miongoni mwao
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mimi huwa sibashiri kwa tambo na ubishi wa kishabiki, badala yake huwa natumia fursa hiyo kuweka mzigo. Leo naweka mapema kabisa correct scores tatu tofauti;
3-2
2-3
2-2
 
Ataghafilulah
Nilifikiri ni Jemedari Said tu anayeamini kuwa derby ya Tanzania imebaki kati ya Yanga na azam, kumbe na wananchi wengine wanaamini hivyo! Kwa mujibu wa Jemedari, Simba ameshajitoa kwenye upinzani wa timu za Tanzania na yupo kwenye upinzani wa timu za nje ya Tanzania, na wengine waliobaki nchini watatafutiana derby miongoni mwao
 
Kuelekea Derby Kali hapa Africa mashariki Azam vs Yanga ( wananchi) Mimi kama mtaalamu wa soka hapa jf namsishi kocha wa kolo fc aitazame Kwa umakini .....huenda anaweza kujifunza baadhi ya mbinu za kumsaidia kumtwanga Al ahly

Mbinu atakazo jifunza akiitazama Azam vs wananchi

Matumizi ya speed kwenye mpira, kama inavyofahamika kuwa Yanga wanacheza pira speed ...hii itasaidia robertinho kwenda ku emphasize speed huko ukoloni hence kuwafunga waarabu

Kukaba , hii ni Kwa sababu ya uwepo wa ukuta wa yericko pale Yanga ....utamfanya Robertinho kupata mbinu za kupanga ukuta Bora kabisa

NB: Maendeleo hayana Chama....tujifunze Kwa waliotuzidiView attachment 2790187
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.
 
Simba siyo wamejitoa kwenye derby bali waoajuwa kuwa wao ni mabingwa wa kushiriki na siyo washindani, hivyo msijikweze sana. Ila natamani sana mkampige muarabu kwao maana siwapendi hawa hata wakicheza na jiwe basi nitashangillia jiwe. Ila simba mnanyodo sana mtaani hatukai hatakama kwakutokujuwa kwenu mpira.
 
Kuelekea Derby Kali hapa Africa mashariki Azam vs Yanga (wananchi) Mimi kama mtaalamu wa soka hapa jf namsishi kocha wa kolo fc aitazame kwa umakini, huenda anaweza kujifunza baadhi ya mbinu za kumsaidia kumtwanga Al Ahly.

Mbinu atakazo jifunza akiitazama Azam vs wananchi.

Matumizi ya speed kwenye mpira, kama inavyofahamika kuwa Yanga wanacheza pira speed ...hii itasaidia robertinho kwenda ku emphasize speed huko ukoloni hence kuwafunga waarabu.

Kukaba , hii ni Kwa sababu ya uwepo wa ukuta wa yericko pale Yanga, utamfanya Robertinho kupata mbinu za kupanga ukuta Bora kabisa.

NB: Maendeleo hayana Chama, tujifunze kwa waliotuzidi.

View attachment 2790187
Bado tu unaendeleza kilio chako cha kichawi cha ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!! ukisaidiana na Nalia ngwena!! Kisa? Uchawi umegonga mwamba ullioichuria simba ifungwe na Al Ahly lakini haikutokea!!
 
Back
Top Bottom