Mechi ya leo Robertinho anaweza okota mbinu za kupiga Al Ahly

Mimi huwa sibashiri kwa tambo na ubishi wa kishabiki, badala yake huwa natumia fursa hiyo kuweka mzigo. Leo naweka mapema kabisa correct scores tatu tofauti;
3-2
2-3
2-2
Umeliwa,azam atapigwa 3-1
Nimempiga muhindi 85,000/=, anachelewesha kuniwekea ameiweka pending

1698083764598.png
 
Kuelekea Derby Kali hapa Africa mashariki Azam vs Yanga (wananchi) Mimi kama mtaalamu wa soka hapa jf namsishi kocha wa kolo fc aitazame kwa umakini, huenda anaweza kujifunza baadhi ya mbinu za kumsaidia kumtwanga Al Ahly.

Mbinu atakazo jifunza akiitazama Azam vs wananchi.

Matumizi ya speed kwenye mpira, kama inavyofahamika kuwa Yanga wanacheza pira speed ...hii itasaidia robertinho kwenda ku emphasize speed huko ukoloni hence kuwafunga waarabu.

Kukaba , hii ni Kwa sababu ya uwepo wa ukuta wa yericko pale Yanga, utamfanya Robertinho kupata mbinu za kupanga ukuta Bora kabisa.

NB: Maendeleo hayana Chama, tujifunze kwa waliotuzidi.

View attachment 2790187
Bado tu unaendeleza kilio chako cha kichawi cha ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!! Kisa? Uchawi umegonga mwamba ullioichuria simba ifungwe na Al Ahly lakini haikutokea!!
 
Kuelekea Derby Kali hapa Africa mashariki Azam vs Yanga (wananchi) Mimi kama mtaalamu wa soka hapa jf namsishi kocha wa kolo fc aitazame kwa umakini, huenda anaweza kujifunza baadhi ya mbinu za kumsaidia kumtwanga Al Ahly.

Mbinu atakazo jifunza akiitazama Azam vs wananchi.

Matumizi ya speed kwenye mpira, kama inavyofahamika kuwa Yanga wanacheza pira speed ...hii itasaidia robertinho kwenda ku emphasize speed huko ukoloni hence kuwafunga waarabu.

Kukaba , hii ni Kwa sababu ya uwepo wa ukuta wa yericko pale Yanga, utamfanya Robertinho kupata mbinu za kupanga ukuta Bora kabisa.

NB: Maendeleo hayana Chama, tujifunze kwa waliotuzidi.

View attachment 2790187
Aahaaa
 
Bado tu unaendeleza kilio chako cha kichawi cha ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!! ukisaidiana na Nalia ngwena!! Kisa? Uchawi umegonga mwamba ullioichuria simba ifungwe na Al Ahly lakini haikutokea!!
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom