Refa kaikaba Yanga kwa kukataa lile bao halali la Ruvu shooting kwani kona au winga akikimbia na kumaliza uwanja na kutoa cross kwa vyovyote vile bao lile ni halali, vile vile ni kwenye kona, ikipigwa kona haiwezi kuwa offside mbona mpigaji yoko kwenye kibendela ? Refa iliikaba Yanga kwa sababu kwa utamaduni uliozoeleka kwa Yanga kama lile bao Refa angelikubali basi Yanga wangaongeza juhudi mpaka wangesawazisha kwani Ruvu moja kwa moja wangebweteka kulinda hilo bao lao moja na Yangas lazima wangeongeza lingine.
Faisal Salum Abdlallah Feitoto, aliikaba Yanga kwa sababu tangu atoke majeruhi kiwango chake hakijarudi sawasawa basi hasitahili kabisa kucheza hadi mwisho ndiyo maana Ruvu shooting walimiliki eneo la katikati na kwa muda fulani kufanya counter -attack. kwa hiyo bench la ufundi walitakiwa wamfanyie sub lakini amecheza hadi mwisho.
Kichekesho fuatilieni mechi ya Ruvu Shooting inayofuata wataikavyofungwa kirahisi.