Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
..[emoji266]..ππππππππ ππππππππ πππππππ.
Mchezo wa Mamelodi Sundowns Dhidi ya Yanga Umepewa heshima ya SADC Derby na Wadhamini wa Michuano hiyo (Total Energies) Pamoja na shirikisho la Soka Africa CAF.
CAF imethibitisha hakuna Mchezo Mkubwa uliowahi kutokea katika Ukanda huu wa Jumuiya ya SADC.
Jumuiya ya SADC inajulikana kama The Southern African Development Community kifupi chake (SADC) kwa maana ni Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Kusini wa Bara la Afrika.
SADC Ilianzishwa Mwaka 17/08/1992 Ikiwa makao Makuu yake Nchini Botswana Mpaka sasa ina Muunganiko wa Nchi 16.
01 Zambia[emoji1268]
02 Angola[emoji1029]
03 Tanzania[emoji1241]
04 Africa Kusini[emoji1221]
05 Comoro[emoji1076]
06 DR Congo[emoji1078]
07 Malawi[emoji1156]
08 Namibia[emoji1176]
09 Zimbabwe[emoji1269]
10 Mauritius[emoji1164]
11 Lesotho[emoji1147]
12 Madagasca[emoji1155]
13 Seychelles[emoji1213]
14 Eswatine[emoji1235]
15 Mozambique[emoji1174]
16 Botswana [emoji1052]
Sasa Kwa Maelezo ya Shirikisho la mpira wa miguu Barani Afrika CAF hakukuwahi kutokea Derby Kubwa kama hii ya Yanga na Mamelodi Sundowns.