Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Baada ya Yanga kufanikiwa kudhibiti mbinu ya Mamelodi ya defenders wao muda mwingi kucheza na kipa wao ili kuwavuta Yanga, Mamelo wataendelea na mbinu hii katika mechi ya marudiano huko Pretoria, Afrika Kusini?
Wakibadili mtindo wa uchezaji wao waliouzoea, faida itakuwa kwao au kwa Yanga?
Wakisema wabadili mbinu, muda wa kufanyia mazoezi utawatosha?
Labda niulize, kama Mamelodi wangekuwa na mbinu mbadala, wasingeitumia katika mchezo wao na Yanga baada ya kuona mbinu waliokuwa wanaitumia haiwapi matokeo?
Binafsi naamini katika mchezo ujao, watakuja kivingine kabisa lakini sioni kama watakuwa bora wakija na style mpya ya kucheza na hapa ndio naiona faida kwa Yanga ukiacha ile ya Mamelodi kukosoa goli la ugenini.
Hitimisho
Kwa mtazamo wangu na kwa mshangao wa wengi, Yanga anaeweza kuwatoa Mamelodi kwa mbinu za kiufundi tu za uwanjani plus advantage ya goli la ugenini.