BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
ni kweli mkuu angekataa, lakini kumbuka ahadi ni deni na reactor ikishawachemka huwa haiwi controlled kirahisi hivyo
mkuu asante kwa mchango, lakini mkuu hilo sio zali ni balaa labda kwa mtu ambaye hujawahi na hukutegemea.he he he zali kama hizo hazinitokeagi miye...nikijaribu hata kupeleka kidole wanakuwa wakali balaa.....kiafya ni rahisi kuambukizana magonjwa especially hiv coz ni rahisi kusababisha michubuko huko nyuma.....tiba ni yeye mwenyewe kuamua kuacha kama vile mtu anavyoamua kuacha pombE.lazima awe amedhamiria asilimia 100
maweeee! kumbe huwa kuna bacteria!Bacteria wanaoishi mahali fulani wanaweza kuleta ugonjwa mahali pengine k.m. UTI
Rafiki yako akikikuambia ana kasoro fulani, halafu akasema amezoezwa kuiba hivyo mkaibe wote utakubali? Kama kweli wewe sio mwizi?
milango ya uani itawatokea puani.
Na huyo jamaa yako alipenda mchezo si angekataa? Mpaka kampaka mafuta huko alikua anataka
Acha masikhara wewe, jamaa kasotea for 7 months with fulu maahadi kuwa atavumilia, that's was the price and he has to accept it. ki ki ki ki:lock1:
Huyo jamaa hana haja ya kuchanganyikiwa,. otherwise kama nae kamchezo alikafurahia, so anaona aibu kuendelea huku anataka. kama ningekuwa mimi nisingekubali kuingiza huko na cku hiyo ndo ungekuwa mwisho wetu.ok, nitashukuru,kinachonitia mashaka ni kuwa jamaa ni kama kachanganyikiwa vile yaani hajui cha kufanya,na isitoshe naona ni kama anaweza kuwa adicted halaf baade wakaachana akapata shida