jibu ni hamna dawa,kama alivyoanza alianza na utashi wake mwenyewe ndivyo kuacha,ni utashi wake mwenyewe kumsukuma....
madhara yapo,kama misuli kulegea na mishipa ya dushelele kuziba hivyo kiafya sio jambo zuri...
mwisho usiumize kichwa sana kwa mambo ya watu wanaokubaliana mambo yao yafanyike kwenye kuta nne,huyo rafiki yako ana hiari ya kumuacha huyo dada kwa tabia yake mbaya,ila kwa kuwa na yeye ni mtu mzima ana akili yake...kaamua kumtigo badala yake,so yanayoendelea ni makubaliano yao wenyewe....none of your bussiness.