Mechi ya marudiano itakuwa rahisi kwa Yanga

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,930
Reaction score
2,118
Leo Yanga wamekubali kuingia kwenye mtego wa Al Hilal kirahisi sana. Mechi ijayo itawezesha Yanga kuwafunga Hilal ikiwa watatumia kikosi kifuatacho;

Aishi Manula
Mohamed Husein
Shomari Kapombe
Bangala
Hinonga
Kanoute
Morrison
Okrah
Chama
Phiri
Mayele

Hawa ndio wachezaji pekee wanaoweza kupindua meza kule Sudan!
 
Yanga hawezi kufungwa na Al hilal, Yanga anaingia Makundi kibabe.
 
Haitakua mara ya kwanza Yanga kufuzu ugenini Alishafanya hivyo Kwa High landers ya Zimbabwe, Township Rollers ya Botswana, Rayon Sports ya Rwanda baada ya mechi ya Kwanza kwisha Kwa matokeo ya Mojamoja.
 
We jifariji tuu..nakukumbusha ni wiki ijayo tu
 
Haitakua mara ya kwanza Yanga kufuzu ugenini Alishafanya hivyo Kwa High landers ya Zimbabwe, Township Rollers ya Botswana, Rayon Sports ya Rwanda baada ya mechi ya Kwanza kwisha Kwa matokeo ya Mojamoja.
Ukisikia ukichaa ndio huu rayon sport ulishaiona makundi champions league lini?,township rollers ndio vitu gani?,high lenders ndio vituko Gani hizi team zinafungwa na namungo ,hii ni Al hilal kuingia makundi ni lazima sio ombi wakati lengo la yanga ni kuingia makundi .jiandae kucheza na pyramid,berkane,DC motema pembe,hawa utaanzia nyumbani na watakufunga tu maana team unatoshabikia Haina uzoefu michuano hii.kiufupi yanga kuifunga Al hilal ni story kubwa Africa lakini Al hilal kuifunga yanga sio story kwenye media za Africa maana wameifunga team ndogo yenye point 0.5
 
Uzalendo kwanza.mimi shabiki wa Simba nawatakia kila lakheri timu ya yanga katika marudiano yao huko Sudan na Al hilal wapate ushindi [emoji16][emoji16][emoji16].
 
Ukweli mchungu
 
...na Al Hilal wapate ushindi...Mkuu hapo tungo imekuwa tata kidogo..fungua
 
ngoja kwanza tumalize mechi yetu ya Leo nitafunguka .tusije tukafungwa wakatucheka
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom