Haitakua mara ya kwanza Yanga kufuzu ugenini Alishafanya hivyo Kwa High landers ya Zimbabwe, Township Rollers ya Botswana, Rayon Sports ya Rwanda baada ya mechi ya Kwanza kwisha Kwa matokeo ya Mojamoja.
Ukisikia ukichaa ndio huu rayon sport ulishaiona makundi champions league lini?,township rollers ndio vitu gani?,high lenders ndio vituko Gani hizi team zinafungwa na namungo ,hii ni Al hilal kuingia makundi ni lazima sio ombi wakati lengo la yanga ni kuingia makundi .jiandae kucheza na pyramid,berkane,DC motema pembe,hawa utaanzia nyumbani na watakufunga tu maana team unatoshabikia Haina uzoefu michuano hii.kiufupi yanga kuifunga Al hilal ni story kubwa Africa lakini Al hilal kuifunga yanga sio story kwenye media za Africa maana wameifunga team ndogo yenye point 0.5Haitakua mara ya kwanza Yanga kufuzu ugenini Alishafanya hivyo Kwa High landers ya Zimbabwe, Township Rollers ya Botswana, Rayon Sports ya Rwanda baada ya mechi ya Kwanza kwisha Kwa matokeo ya Mojamoja.
Ukweli mchunguUkisikia ukichaa ndio huu rayon sport ulishaiona makundi champions league lini?,township rollers ndio vitu gani?,high lenders ndio vituko Gani hizi team zinafungwa na namungo ,hii ni Al hilal kuingia makundi ni lazima sio ombi wakati lengo la yanga ni kuingia makundi .jiandae kucheza na pyramid,berkane,DC motema pembe,hawa utaanzia nyumbani na watakufunga tu maana team unatoshabikia Haina uzoefu michuano hii.kiufupi yanga kuifunga Al hilal ni story kubwa Africa lakini Al hilal kuifunga yanga sio story kwenye media za Africa maana wameifunga team ndogo yenye point 0.5
...na Al Hilal wapate ushindi...Mkuu hapo tungo imekuwa tata kidogo..funguaUzalendo kwanza.mimi shabiki wa Simba nawatakia kila lakheri timu ya yanga katika marudiano yao huko Sudan na Al hilal wapate ushindi [emoji16][emoji16][emoji16].
ngoja kwanza tumalize mechi yetu ya Leo nitafunguka .tusije tukafungwa wakatucheka...na Al Hilal wapate ushindi...Mkuu hapo tungo imekuwa tata kidogo..fungua