Mechi ya marudiano na Raja AC inaninyima usingizi

Mnaenda Kuzagamuliwa [emoji23]
 
Mnaenda Kusosomolewa [emoji23]
 
Mnaenda Kutiwa [emoji1787]
 
Mnaenda Kumanuliwa [emoji1787]
 
Mnaenda Dahauliwa Dudu [emoji1787]
 
Mnaenda Kudownlodiwa [emoji1787]
 
Wale sio wanampira mkubwa sana hata ukiangali team km mamelod, sijui es tunis na myingine unaona mpira wa raja bado mkubwa sana.
Ila kuna cha kujifunza sana.
Bigwa bigwa tu.
 
Niko Paleeee [emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu hawa ni Raja wanaotaka sifa, na sipati picha kama wale mashabiki wao wata ruhusiwa uwanjani full house
Usiumize kichwa bure hao wapo nafasi ya tatu wamewekeza pesa nyingi sana hapo, kwa hiyo tufike level hizo lazima tuwekeze hata robo tatu yao ndio tupambane nao! Yote kwa yote huu ni mpira lakini kiuhalisi Raja wako mbali zaidi ya Simba!
 
Upo sahihi mkuu
 
Ni lazima kwenye ukweli tuuseme, hii ni club bingwa sio shirikisho, ni mashindano makubwa kwa ngazi ya vilabu barani Afrika! Simba kufika ngazi ulikua ni mchakato, ndio maana Simba kuingia hatua ya makundi Club Bingwa haikua issue saaana kwa kuwa walishajipambua kuvuka hizo ngazi za makundi!
 
Kuna ndoto naiota Mgunda anamnong'oneza Robertinho, "Au tumwambie Inonga achukue mpira tukimbie......!" Halafu Robertinho naye anatoa tu macho kumbe hajui kiswahili"
Mpira unadunda sehemu yeyote, hii simba inaweza ikawa shangaza,, tutampiga mtu hamsa hamtaamini.
 
Kawaida tu mbona al ahly jana kala 5 na nchi ipo shwari kabisa.
 
Unakosa usingizi kivipi sasa,ndo matokeo ya Mpira kushinda,kushindwa na sare.
Simba haiogopi changamoto
Kuna kupigwa alafu kuna kupigwa nyingi.
 
Wale sio wanampira mkubwa sana hata ukiangali team km mamelod, sijui es tunis na myingine unaona mpira wa raja bado mkubwa sana.
Ila kuna cha kujifunza sana.
Bigwa bigwa tu.
Upo sahihi mkuu, nimewaangalia mamelodi jana kwa pamoja na al ahly,, wote hawana mpira wa kumfikia Raja, kwa kifupi Raja ana nafasi kubwa sana ya kubeba ndoo msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…