Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Nasikitika sana na nazidi kusikitika.
Nawasikitikia zaidi mashujaa wetu waliojitoa kulitetea taifa mwisho wa siku wameishia kupoteza maisha lakini asilimia kubwa ya watu waliokuwa wanawapambania ni wapumbavu kwa kiasi kikubwa sana.
Niliingia kwenye instatrack kuchungulia engagement rates, followers nk, nimesikitika kuona asilimia kubwa ya hao wasanii ,wananchi wamejirudisha tena kuwashobokea tena kwa kasi sana.
Okay, tuachane na hilo, kuna hili lingine sasa la timu za mipira kutumika kuwarudisha wasanii kwa wananchi.
Simba na Yanga ni maadui wakubwa kwenye maisha ya wananchi, na ikumbukwe GSM alitoa 10B kudhamini kampeni za Samia,.licha ya maelfu ya.watanzania kufariki, hizi timu hazikutoa pole ya aina yoyote na walijikausha tuli kama hakuna lililotokea.
Hili tamasha lao la mashabiki wa Simba na yanga wasanii watatumia kama daraja la wao kurudi kwa kasi na kuzidi kuwaona wananchi kama mandondocha.
Nitafurahi sana kuona muitiko wa hilo jambo ni mdogo ili kuonesha ni kwa namna gani tuna maanisha tunachokisema.
Nimesikitika mpaka natetemeka.
Mpaka kufika January ni dhahiri nguvu iliyotumika kupaza sauti itakuwa sawa na bure, na badala yake utakuwa ni usaliti wa hali ya juu kwa wote waliopoteza maisha