Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Mashabiki wa timu hizi mbili ni mazezeta na ndio wanarudisha sana nyuma.Kama ni hivyo plan zao zitaenda kufa kifo cha mende
Nasikitika sana na nazidi kusikitika.
Nawasikitikia zaidi mashujaa wetu waliojitoa kulitetea taifa mwisho wa siku wameishia kupoteza maisha lakini asilimia kubwa ya watu waliokuwa wanawapambania ni wapumbavu kwa kiasi kikubwa sana.
Niliingia kwenye instatrack kuchungulia engagement rates, followers nk, nimesikitika kuona asilimia kubwa ya hao wasanii ,wananchi wamejirudisha tena kuwashobokea tena kwa kasi sana.
Okay, tuachane na hilo, kuna hili lingine sasa la timu za mipira kutumika kuwarudisha wasanii kwa wananchi.
Simba na Yanga na maadui wakubwa kwenye maisha ya wananchi, na ikumbukwe GSM alitoa 10B kudhamini kampeni za Samia,.licha ya maelfu ya.watanzania kufariki, hizi timu hazikutoa pole ya aina yoyote na walijikausha tuli kama hakuna lililotokea.
Hili tamasha lao la mashabiki wa Simba na yanga wasanii watatumia kama daraja la wao kurudi kwa kasi na kuzidi kuwaona wananchi kama mandondocha.
Nitafurahi sana kuona muitiko wa hilo jambo ni mdogo ili kuonesha ni kwa namna gani tuna maanisha tunachokisema.
Nimesikitika mpaka natetemeka.
Mpaka kufika January ni dhahiri nguvu iliyotumika kupaza sauti itakuwa sawa na bure, na badala yake utakuwa ni usaliti wa hali ya juu kwa wote waliopoteza maisha
Ebu ona kenge nyingine hiiWewe ni kati ya wajinga kabisa
Hivi duniani kote, kuna mtu anaitiwa kazi anayoitegemea kumuingizia kipato akatae;
Wewe ukiwa mshabiki ya Yanga ukaitiwa kujenga nyumba ya mshabiki wa simba utakataa?
Au ukiwa mlokole ukinunua gari utawasafirisha walokole pekee?
Hivi unajua kuna stuo bora sana za Waislam na ndizo zinatengeneza nyimbo za injili
Sasa kwa nini, msanii alipwe mahele mengi kuimbia Cuf, au chadema au chama chochote akatae? Ile ni Biashara, na ile ni kazi. Wengi wao hawana hata kadi ya chama husika....
Tuacheni ulimbuni na ndio sababu wazungu huona ngozi nyeusi hawana akili.....
Sio safari ijayo , tupo nje ya muda.Safari ijayo ni kuwashugulikia wasaliti wote waliojificha kwenye kivuli Cha usimba, usimba na Uyanga tuone kama tutajaza uwanja watakappcheza kama tut
Tena utakuta kuna raia wengine kama machok* yanajilegeza kabisa kwamba yameshindwa kukaza.Hakuna kitu kinauma kama kuona hawa wasanii wanapata audience tena! Tulishasema kama tasnia inakufa acha ife watafute kazi zingine
Ngoja nikupe mfano wa misimamo wewe bwege.Wewe ni kati ya wajinga kabisa
Hivi duniani kote, kuna mtu anaitiwa kazi anayoitegemea kumuingizia kipato akatae;
Wewe ukiwa mshabiki ya Yanga ukaitiwa kujenga nyumba ya mshabiki wa simba utakataa?
Au ukiwa mlokole ukinunua gari utawasafirisha walokole pekee?
Hivi unajua kuna stuo bora sana za Waislam na ndizo zinatengeneza nyimbo za injili
Sasa kwa nini, msanii alipwe mahele mengi kuimbia Cuf, au chadema au chama chochote akatae? Ile ni Biashara, na ile ni kazi. Wengi wao hawana hata kadi ya chama husika....
Tuacheni ulimbuni na ndio sababu wazungu huona ngozi nyeusi hawana akili.....
Hivi chimbuko la sakata la wasanii na umma unalijua?Wewe ni kati ya wajinga kabisa
Hivi duniani kote, kuna mtu anaitiwa kazi anayoitegemea kumuingizia kipato akatae;
Wewe ukiwa mshabiki ya Yanga ukaitiwa kujenga nyumba ya mshabiki wa simba utakataa?
Au ukiwa mlokole ukinunua gari utawasafirisha walokole pekee?
Hivi unajua kuna stuo bora sana za Waislam na ndizo zinatengeneza nyimbo za injili
Sasa kwa nini, msanii alipwe mahele mengi kuimbia Cuf, au chadema au chama chochote akatae? Ile ni Biashara, na ile ni kazi. Wengi wao hawana hata kadi ya chama husika....
Tuacheni ulimbuni na ndio sababu wazungu huona ngozi nyeusi hawana akili.....
Kuniita Kenga inathibitisha kabisa kuwa uwezo wako wa kuelewa ni chini ya SIFURI hivyo unastahili kwenda kwa Mwamposa kukanyaga mafuta!!!Ebu ona kenge nyingine hii