Mechi ya Mbao na Simba fainali bora FIFA U20 world final.

Mechi ya Mbao na Simba fainali bora FIFA U20 world final.

Hata hivyo mleta mada ana point,haiwezekani wale waandishi wanaojiona nguli wa michezo,mpka mashindano yanaisha jawajaandika sana,kiukweli bila kuwapa taarifa za kuwahamasisha hawa wadogo zetu tutaishia kuwa wasindikizaji tu!!
Ndiooooooooooo mkuu umenielewa sawia.
 
Ilikuwa "classical fainal" Hayo ni maneno ya Mpenja.Yaani ulichezwa mpira wa kitabuni. Sasa wewe mtoa hoja huko korea hatuna under20 wa Tanzania tukamtazame nani?
Ndio upumbavu wetu, hatutazami mpaka kitimu chetu cha sampo kiwe kinashiriki kwenye hatua za awali kama kawaida yao. Tazama ujifunze.

Kitu pekee kilichonivutia kwenye mpira wa Mbao vs Simba Koko ni refarii asiye na aibu.
 
Mkuu, ukiwachunguza sana hawa wanaojifanya wachambuzi wetu wa soka katika media si lolote bali ni copy n paste toka England!
 
Back
Top Bottom