Mechi ya ngao ya hisani

Mechi ya ngao ya hisani

Hivi mlikuwa Uturuki kweli? Mnacheza mpira wa ovyo sana! Ligi hii itakuwa ngumu kwenu tofauti na msimu uliopita!

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyinyi sasahivi Mutakuwa Ni MipashoFC manake Hata Msimu uliopita muliyasema Haya, Na sasahivi umeamua Kuyarejea! Hebu nipeni Account Number yenu angalau Niwachangie hela Mafuta manake Nasikia Basi lenu Muda wowote Litakwama Jangwani Kwa Kukosa wese.
 
THIS IS SIMBA


IMG_20180818_183501.jpg
 
nimekutana na jamaa mmoja nikamuuliza wewe shabiki timu gani akajibu niponipo yaani yanga imekuwa niponipo fc anaona aibu kutaja chama lake
 
Back
Top Bottom