Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Babu punguza fujo na ushindi wenu wa penati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu punguza fujo na ushindi wenu wa penati
Poa poa... Na ubingwa wenu pia wa mezani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuacheni na matuta yetu
Utavaaaa tu dyadyaMfyuuuu
Bora nihamie ndanda kuliko matopeni
Hongeraa kwa matutaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapana mimi ni simba damuu
My own brand!!
Ushindi wenyewe wa penalt. ...anyway hongeren wazee wa kuuza team
Lakini tumeshinda sisi mshkaji wangu ama neneeNaona dakika 90 mmeshindwa mshikaji wangu
Apumzike Kwa Amani,
Mbona ulikua kimya yaan ujue muoga[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapana mimi ni simba damuu
My own brand!!
Hongeraa kwa matutaa
Mpaka matutaMnyamaaaaaaaaaaaaa![]()
Achana nao mkuu hasira zao [emoji1][emoji1]Sa Kama ni Aibu kushinda kwa penalty Nyinyi Mbona Amjashinda Ata izo za Aibu..
Lol Maneno ya Kujipozaaaa Ayo
Maisha yako yoooteUtavaaaa tu dyadya
Ewaaaaaaa ndio zetu hizooooooo [emoji23][emoji23]Poa poa... Na ubingwa wenu pia wa mezani
AsanteeeeeeeHongeraa kwa matutaa
Sina hamu bonny.Twende Taifa mama
R.i.p Ally Yanga
HahahaEwaaaaaaa ndio zetu hizooooooo [emoji23][emoji23]
Walisema watatufunga nyingi dakika 90,Sijui wanashangilia nini.... Anyway ujue hata ubingwa wanao wao eeehh