Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Penati ya tano tuliikosa technically na wao wafrah ya mwisho mwisho kabla hatujabeba ndoo, hii mbinu nzuri sana mwalimu anawajulia sana, itadumisha upinzani c uadui

et al
 
IMG-20160716-WA0013.jpg
......
.....kirikuu 5 bariiidii
 
Penati ya tano tuliukosa technically na wao wafrah ya mwisho mwisho kabla hatujabeba ndoo, hii mbinu nzuri sana mwalimu anawajulia sana, itadumisha upinzani c uadui

et al
Nani kashinda
 
Mkuu, hii ni kauli ya kuidhalilisha Yanga. Ina maana Yanga nao walikuwa wanategemea kufungwa nyingi?
Mashabiki wa Simba walikuwa wanamini hivyo, dakika 90 zimeisha bila bila,

Yanga timu kubwa Siku zote
 
Back
Top Bottom