Wangetufunga Sijui tungeweka wapiii sura zetu.... Walikuwa na Kelele mnoooWalijitamba sana Hawa, kumbe Hadi matuta
......Leo aibu njia nzima ntapita wapi na mabuti yangu haya
View attachment 573453
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio tumeshashinda jaman mshkaji wangu [emoji1][emoji1]Wala sio hivyo, mngeshinda kwenye dakika 90 sasa
Simba kashinda mkuujamani tunaomba matokeo ya simba na yanga wakuu
Maneno ya wakosajiiii [emoji6][emoji6]Walijitamba sana Hawa, kumbe Hadi matuta
Mbona hamjatufunga sasa jamanMlifikiri kwenye dakika 90, mngetufunga kirahisi hivyo
Kweli kabisa yamebaki majina tu.
Tshishimbi Oyeeeeeeeeeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].naona yanga wana jifariji.kuwa ni ushindi wa matuta MBONA HAMKUUPATA NYIE HUO USHINDI WA MATUTA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una roho ngumu. Wenzio wote wameshakimbia uzi huuWala sikucheki wewe mkuu. Nawacheka mashabiki wa simba wanavyofurahia penalti.
Mbwebwe zoote hamna kitu. Lol
Hata tungeshinda kwa matuta tusingeshabikia... kwasbb matuta ni Bahati tu na sio magoli ya viwango (standard goals)Mbona nyie hamjashinda jaman hata kwa hayo matuta
Ndio hapo sasa, kelele zilikuwa nyingi sanaYaani hawaamini kilichotokea. Na ubingwa wa ligi kuu watausubiri sana aisee
......
Uzuri sijaipenda yanga jana wala juzi hivyo kama kuumia nshaumia sana haya ni marudio tu.Una roho ngumu. Wenzio wote wameshakimbia uzi huu
Nani kashindaPenati ya tano tuliukosa technically na wao wafrah ya mwisho mwisho kabla hatujabeba ndoo, hii mbinu nzuri sana mwalimu anawajulia sana, itadumisha upinzani c uadui
et al
Mashabiki wa Simba walikuwa wanamini hivyo, dakika 90 zimeisha bila bila,Mkuu, hii ni kauli ya kuidhalilisha Yanga. Ina maana Yanga nao walikuwa wanategemea kufungwa nyingi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una roho ngumu. Wenzio wote wameshakimbia uzi huu