Sa tumekosa nini kwa mfano... Matutaa kweeeli ndo unasema wakosaji???? Naona hauko serious nikuambie mara ngapi mpira ni dakika 90????
Dyadya ngoja nitoke nakupenda ujue hata kama tumewafungaSasa mmefunga nini nyie
Tshishimbi hatari sanaKweli kabisa yamebaki majina tu.
Tshishimbi Oyeeeeeeeeeeeeee
Endelea kushangilia matutaa... Tukutane kwenye ligi kuu mkuuSawa jaman mtuache na ushindi wetu
Aungurumapo simba mcheza naniiiiiiii [emoji23]
Na nyie mbona hamjatufunga [emoji6]Mbona hamjatufunga kwenye zile dakika
Yanga timu kubwa wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sana muoga mie balaaa!!![emoji1] [emoji351] [emoji351] [emoji351]
My own brand!!
Hahaha poa mshikaji wanguUshindi ushindi jaman ebu ngoja nitoke kidogo nishangilie vizuri
Hata domo nae ni simba... Nakukumbusha tuuAungurumapo simba mcheza naniiiiiiii [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naogopa watu shamac naona aibu sana mie ujue
Inua hicho kichwa ushangilie na kwa vigeregere huo ushindi wa mezani.
Huko kuinamisha kichwa vepee? Utavunja shingo toka jana umeinama.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji351] [emoji351] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji351] [emoji351] [emoji351] [emoji351] [emoji351] [emoji351]Mbona nyie hamjashinda jaman hata kwa hayo matuta
Domo ni yanga banaHata domo nae ni simba... Nakukumbusha tuu
HahahaKelele zilizidi humu aisee, kumbe Hadi kwenye matuta
Yaan ni wabishi ujue hawa watu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji351] [emoji351] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji351] [emoji351] [emoji351] [emoji351] [emoji351] [emoji351]
My own brand!!
Baeleze baeleweMbona hamjatufunga kwenye zile dakika
Yanga timu kubwa wewe
HahahaUshindi ushindi jaman ebu ngoja nitoke kidogo nishangilie vizuri
Umemfunga nani sasaaa.... We toka tuuDyadya ngoja nitoke nakupenda ujue hata kama tumewafunga
Naona umeamua kujilipua, hongera lakinii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naogopa watu shamac naona aibu sana mie ujue
Ndio uwezo wao ulipoishia hapo, maana walizidi maneno Hawa SimbaHahaha
Waache washangilie tuta bhanaa
Si anajiita simba auuuu... Ndo yale yaleDomo ni yanga bana