Saidy Hamidu
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 147
- 128
Waambie aisee haiwezekani mtoto alale na hela. Mtoto yake neeeepii.Poleni sana yanga, this is SIMBA Bwana!!!
Hahahaaa!! Safi sana mkuu, mtoto yake nepi!!Waambie aisee haiwezekani mtoto alale na hela. Mtoto yake neeeepii.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Sema tenaNa hii Vilaza Fc.( S) watakuja kukanusha!
Hahaaaa. Hawana hamu na ushindi wao wanashangilia hiyo basi.Ndio hapo sasa, kelele zilikuwa nyingi sana
Kanipa raha sana aiseee.Tshishimbi hatari sana
Pale mkuu tumepata na hata Gadiel Michael naye amejitahidi sanaYule jamaa fundi sana aise.
Mkuu hata tukiweka mechi za jumla bado Mikia FC wanakimbizwa vibaya mno.
Simbaaaa naona wanahangaika Yanga na Team yao hawakosi sababu team ya MatejaRaaaaa simba mnyaaaamaaaa
Ntatuliaje na nina raha ya UshindiHebu tulia uandike vizuri
Basi Sawa tuuNtatuliaje na nina raha ya Ushindi
Wazee wa Tra na zile hela za uwanjan tumewapa mkalipe KodiBasi Sawa tuu
Raha ya Mpira UshindiTupoo na tumetoshana nguvu... Hizo nyingine mbwembwe
Walijua football ni maneno tu,Hahaaaa. Hawana hamu na ushindi wao wanashangilia hiyo basi.
Mana mtaani huku maneno yao yalikuwa wanatupiga 02 na kuendelea. Kumbe timu yenyewe imejaa wahenga.