Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Mwache bhana... alikuwa kashamaliza machungu
IMG-20160716-WA0014.jpg
Ha ha ha ha Babu mtu mbaya sana wewe

C.C Sakayo
 
4ce2dcd427bd41d0ea189c8aeeb39613.jpg
Kutana na wahenga waliosema “USIKU WA DENI HAUCHELEWI KUCHA" na deni lenyewe anadai mstaafu aliebomolewa nyumba yake nusu Mbezi Kimara.

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hahaaaa. Hawana hamu na ushindi wao wanashangilia hiyo basi.

Mana mtaani huku maneno yao yalikuwa wanatupiga 02 na kuendelea. Kumbe timu yenyewe imejaa wahenga.
Walijua football ni maneno tu,
 
Back
Top Bottom