Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Huyu tshishimbi fundi

Mkude&Ndemla ndio viungo hatari ,master pass hawa ila simba hawajui tu hawa ndio huwa wanawapotezaga yanga
 
Kama kawaida yangu mdau wenu nitakuwa live kuwaletea masimulizi ya mechi kali kati ya mnyama Simba SC na Yanga SC, uwanja wa Taifa leo katika mechi ya ngao ya hisani.

Nitawaletea masimulizi kabda na baada ya mechi.

======
16:15; Timu zote mbili zimeshafika uwanja wa taifa na tayari wachezaji wa Simba wameingia kiwanjani kupasha misuli, mechi inatarajiwa kuanza majira ya saa 11 jioni.

16:24; Timu ya Yanga nayo imeingia kiwanjani kupasha misuli

16:28; Shadrack Nsajigwa(Kocha msaidizi Yanga); Kikosi chetu kiko vizuri na hatuna majeruhi, Yanga tutegemee ushindi.
=====

00' Mwamuzi kapuliza kipyenga kuashiria mwanzo wa mchezo, Yanga 0-0 Simba.
02' Yanga wanapata mpira wa kwanza wa adhabu ndogo kuelekea lango la Simba na kuzaa mpira wa kona.
07' Yanga wanapata kona ya pili, Aishi Manula anaipangua kuitoa kwenye hatari.




Kikosi cha Simba Mnyaka kitakachoanza leo Vs Yanga SC
Aishi Manula, Ally Shomari, Erasto Nyoni, Salim Mbonde, Method Mwanjale, James Kotei, Shiza Kichuya, Mzamiru Yassin, Laudit Mavugo, Emmanuel Okwi na Haruna Niyonzima​



Duh! Hata hawaombolezi kushikwa na kuminywa kwa Tundu lisu? Jamaa kaminywa sasa hivi yuko hoi!
 
Hivi hawa Azam hii HD yao ni ya namna gani?

Na ingekuwa siyo HD ingekuwaje?
 
Back
Top Bottom