Mechi ya Simba na Al Ahly ni kama ilikuwa maigizo

Tatizo mnakera. Na nidhani kweli pale klabuni kwenu wenye akili ni wawili tu. Imagine mtu msomi kama wewe hujui kuwa matokeo ukiyajumlisha unapata droo, na mshindi hapa kwa vyovyote alipatikana kwa aggregate: Young Africans 1 - 2 USM Algiers + USM Algiers 0 - 1 Young Africans.

Kama matokeo hayo hapo juu ni droo [emoji115] mtu mwenye akili yake timamu anaanzaje kuicheka Simba kwa matokeo ya 2 - 2 home na baadae 1 - 1 away?

We mpuuzi umekuja hapa kumtetea mumeo. Kubishana nibishane na mwingine, wewe unaingilia kutafuta nini?
Ulivyo olewa wewe basi kila mtu unadhani yupo kama wewe
 
Walikutana pipa na mfuniko...wote wabovu tu. Ni kama Kagera Rangers ilikuwa inacheza na Messina. Aggregate FC imesharudi? Ha ha ha ha ha
Dah akili zako kweli ni za kufikia nyumbani na kusukuma mavi kama hiyo pia unaweza bila msaada.Kufungwa na Ihefu tena mara 2 mfululizo uwe na guts ya kuzungumza chochote.Mtakutana na Al Ahly halafu urudi hapa kusema maneno yako ya shombo.Simba wamekukanda na kuchukua pointi 4 kati ya 6.Na kukufunga kwenye ngao ya jamii.Ila una uhuru wa kuropoka.
 
Kulikuwa na mashindano ya ngao ya jamii/hisani kabla ya msimu mpya kuanza. Naomba kuuliza je Uto walishiriki? kama walishiriki waliishia wapi? Je nani alwazuia kutwaa ngao ya hisani?
 
Hao kwa kumbukumbu mbovu ndio tatizo lao.
 
We dada unahamu ya kukojozwa eeeh? Unaingilia mjadala wa wanaume wanaobishana ilhali wewe ni wa kike, siyo dalili kwamba unatafuta bwana?
Una tatizo la akili, mtu mpumbavu na asie na hoja hua anajificha kwenye matusi, so baada ya kutukana kuna kitu umepata? hizi tabia unazo onyesha hata dada zako hawawezi kua hivi
 
Kulikuwa na mashindano ya ngao ya jamii/hisani kabla ya msimu mpya kuanza. Naomba kuuliza je Uto walishiriki? kama walishiriki waliishia wapi? Je nani alwazuia kutwaa ngao ya hisani?
Sema ngao ya marefa sio ya hisani
 
Hii mechi ilivyokuwa ni kama ni maigizo kwa namna ilivyokuwa timu zinacheza.

1) Al Ahly wameonesha wana accuracy ndogo sana kwenye final third ya mpinzani.
Mechi zote mbili, wachezaji wa Al Ahly wameonesha uwezo mdogo sana katika umaliziaji kama sio wachezaji professional vile. Mipira wanapaisha tu yaani washambuliaji hawana tofauti na Yikpe wa Yanga. Hawana utulivu, hawana maaelewano yaani kama wachezaji wa daraja la chini.

2) Simba wakiongoza wana react kwa haraka na kufanya jambo la kuliweka sawa
Kule Dar Al Ahly walikuwa hovyo kwenye umaliziaji nafasi za wazi wanazikosa mpaka mtu unajiuliza huyu ndio mchezaji wa bilioni kadhaa, lakini Simba iliposawazisha na kuongeza goli la pili hao hao wachezaji waliokuwa wanatoa toa nje mpira wanakuwa wanaamka na kusawazisha goli.

Sawa na mechi ya jana, Al Ahly kakosa nafasi za hovyo mtu anajipigia tu mpira juu ovyo ovyo golini ila Simba walipoongoza goli, hao hao waliokuwa wanabutua waka react wakasawazisha. Mtu unaweza kudhani kuwa pengine kupata goli la kusawazisha kungewafanya wawe hatari zaidi kwa kuongeza kasi ya mashambulizi ila ndio kwanza wakaupoozesha mchezo na kupiga pasi pasi tu za hapa na pale.

Wale kama ndio wachezaji wa mabilioni ndio uwezo wao ndio ule kwenye umaliziaji basi wacha timu zetu ziendelee kutafuta vipaji na sio majina makubwa kwenye usajili ila pengine labda ilikuwa kuna maigizo au maagizo basi sawa.
Kuna hawa watu wa makampuni ya betting nahisi walitia mkono kwenye hii game, jiulize kwanini Al Ahly wakifungwa wanaweza kurudisha then wanarudi kwenye utaratibu wao wa kukosa magoli?
 
Light Yanga wangekuelewa. Kwakuwa Simba aliweza kuwacontain, basi wao wanawaona kama mbovu.
Nazungumzia accuracy ya wachezaji wa mabilioni ya pesa. Mchezaji yeye na goli ana paisha juu, mchezaji sehemu ya kupiga penetration pass kwa mwenzie yeye anabutua mpira juu. Yaani wachezaji wa mabilioni ya pesa hawajui hata kulenga goli? Sio kufunga goli bali kulilenga tu goli imekuwa shida kwao. Je ni jambo linalowezekana kwa timu inayoitwa bora kwa ukanda wa Africa?
 
Yale magoli yao ma3 ni kweli yanakera sababu ni kama walikua wanatuambia tukitaka kuwafungeni tunapata goli ila hatutawafunga as long as sisi ndo tupo kwenye nafasi ya kupita, ila mkibadili mazingira tu tunawafunga kuchukua hiyo nafasi tena.

Mabeki wetu walitukosea mno kuruhusu hili lifanyike mara 3.

Ukweli ni kwamba Simba tunahitaji kusajili wachezaji wa kimataifa, ifike mahali timu kama Al ahly ikipangwa na simba ipewe nafasi ndogo ya ushindi kama ihefu inavyopewa nafasi dhidi ya Yanga.
 
Hii mechi ilivyokuwa ni kama ni maigizo kwa namna ilivyokuwa timu zinacheza.

1) Al Ahly wameonesha wana accuracy ndogo sana kwenye final third ya mpinzani.
Mechi zote mbili, wachezaji wa Al Ahly wameonesha uwezo mdogo sana katika umaliziaji kama sio wachezaji professional vile. Mipira wanapaisha tu yaani washambuliaji hawana tofauti na Yikpe wa Yanga. Hawana utulivu, hawana maaelewano yaani kama wachezaji wa daraja la chini.

2) Simba wakiongoza wana react kwa haraka na kufanya jambo la kuliweka sawa
Kule Dar Al Ahly walikuwa hovyo kwenye umaliziaji nafasi za wazi wanazikosa mpaka mtu unajiuliza huyu ndio mchezaji wa bilioni kadhaa, lakini Simba iliposawazisha na kuongeza goli la pili hao hao wachezaji waliokuwa wanatoa toa nje mpira wanakuwa wanaamka na kusawazisha goli.

Sawa na mechi ya jana, Al Ahly kakosa nafasi za hovyo mtu anajipigia tu mpira juu ovyo ovyo golini ila Simba walipoongoza goli, hao hao waliokuwa wanabutua waka react wakasawazisha. Mtu unaweza kudhani kuwa pengine kupata goli la kusawazisha kungewafanya wawe hatari zaidi kwa kuongeza kasi ya mashambulizi ila ndio kwanza wakaupoozesha mchezo na kupiga pasi pasi tu za hapa na pale.

Wale kama ndio wachezaji wa mabilioni ndio uwezo wao ndio ule kwenye umaliziaji basi wacha timu zetu ziendelee kutafuta vipaji na sio majina makubwa kwenye usajili ila pengine labda ilikuwa kuna maigizo au maagizo basi sawa.
Chizi maarifa anapopewa bando na access ya JF
 
Yale magoli yao ma3 ni kweli yanakera sababu ni kama walikua wanatuambia tukitaka kuwafungeni tunapata goli ila hatutawafunga as long as sisi ndo tupo kwenye nafasi ya kupita, ila mkibadili mazingira tu tunawafunga kuchukua hiyo nafasi tena.

Mabeki wetu walitukosea mno kuruhusu hili lifanyike mara 3.

Ukweli ni kwamba Simba tunahitaji kusajili wachezaji wa kimataifa, ifike mahali timu kama Al ahly ikipangwa na simba ipewe nafasi ndogo ya ushindi kama ihefu inavyopewa nafasi dhidi ya Yanga.
Hili ndivyo ilivyokuwa, ila inaweza kuwa kwa kiasi fulani makampuni ya kamari yamechangia kwa kiasi kikubwa kwenye hili. Al Ahly anapewa odd 1.16 huku Simba akipewa odd 20 hadi 20+ ina maana wengi wataweka stake kubwa sana ili wapate faida kwa kumpa Al Ahly na niwachache sana watakaowaza kumpa Simba au hata kuweka sare kwasababu odds hazipo upande huo. Tokea Simba ishiriki michuano ya kimataifa haijawahi kutokea kuwekea odds kubwa kiasi hiko.
 
Ila hawa waarabu wa misri pamoja na vilabu vyao na timu Yao ya taifa kuwa na rekodi nzuri afrika huwa hawafanyi vizuri Kwenye World Cup au club World Cup sababu wanabebwa sana kwavile caf ipo Cairo .
Rejea Senegal alivyompiga Egypt Kwenye afcon na World Cup qualification.
Katika waarabu wenye nguvu ya halali kisoka ni Morocco na Algeria .
Una hoja, usikilizwe
 
Hili ndivyo ilivyokuwa, ila inaweza kuwa kwa kiasi fulani makampuni ya kamari yamechangia kwa kiasi kikubwa kwenye hili. Al Ahly anapewa odd 1.16 huku Simba akipewa odd 20 hadi 20+ ina maana wengi wataweka stake kubwa sana ili wapate faida kwa kumpa Al Ahly na niwachache sana watakaowaza kumpa Simba au hata kuweka sare kwasababu odds hazipo upande huo. Tokea Simba ishiriki michuano ya kimataifa haijawahi kutokea kuwekea odds kubwa kiasi hiko.
Hili linawezekana kabisa mkuu. Kamari inaharibu soka.
 
Hili ndivyo ilivyokuwa, ila inaweza kuwa kwa kiasi fulani makampuni ya kamari yamechangia kwa kiasi kikubwa kwenye hili. Al Ahly anapewa odd 1.16 huku Simba akipewa odd 20 hadi 20+ ina maana wengi wataweka stake kubwa sana ili wapate faida kwa kumpa Al Ahly na niwachache sana watakaowaza kumpa Simba au hata kuweka sare kwasababu odds hazipo upande huo. Tokea Simba ishiriki michuano ya kimataifa haijawahi kutokea kuwekea odds kubwa kiasi hiko.
Upo sahihi angalia double chance ya Simba ilikua odds 4 jiulize kutoka odds 20 hadi 4 kwanini isingekua 10 au 12? hio mechi ilikua na kitu nyuma
 
Back
Top Bottom