Mechi ya Simba na Azam kombe la FA ni ushahidi mwingine dhidi ya TFF na Simba

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena.

Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu Tanzania.
 
Ingependeza zaidi ukauficha ujinga wako. Azam wenyewe wamekiri lile ni goli halali na wamesema uzembe wao ndiyo umewagharimu
 
Wewe kama nani? Na kwanini irudiwe? Mbona morisoni akifanya yake tu, utopolo mnanuna nakuanzisha maneno juu yake? Vilevile mnawalaumu mpaka TFF kwakosa gani? Mbona azam hawakulalamika?

Hivi kwanini msifurahi kukutana na simba ili muwaoneshe kwamba ninyi utopolo nihabari nyingine nakuwathibitishia simba kwamba hawana uwezo ila wanabebwa tu? Au mtakua mnawaogopa nyie mkuyenge fc de la utopilosahel.
 
Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena.

Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu Tanzania.
Elimu ndogo ni sumu
 
Halafu ikirudiwa?
 
Duh,mtoa mada pamoja na mifano mingi zaidi ya magoli kama hayo yaliyofungwa huko Duniani bado unalalamika tu??

Hivi kwa nini mnaiogopa sana Simba hamuoni kama mnaendelea kujidhalilisha mnoo??
 
Kwani wao wenyewe wanasemaje[emoji16]
JamiiForums335322333.jpg
 
Hahahaha usinichekeshe/ wakati nipo darasa la tatu kuna rafiki yangu mmoja alikuwa akiambiwa na mwalimu"soma baba anacheza zeze" jamaa anasema "baba anachesa sese" daaaaah
Who is Mwamusi ?[emoji23][emoji23]
 
Ingependeza zaidi ukauficha ujinga wako. Azam wenyewe wamekiri lile ni goli halali na wamesema uzembe wao ndiyo umewagharimu
Azam ni toto la Simba, lakini zitakuja timu zinazojitambua halafu zitenge mpira na kucheza bila kipyenga cha refa halafu refa akatae utaona kitakachotokea.
 
Back
Top Bottom