Unajua we jamaa nakukutaga jukwaa la elimu na kuonekana ni mtu ulie elimika Ila linapokuja swala la usimba na uyanga unakuwa kilaza Sana hadi aibu tunaona wengine ambao waga tunahisi uko smart upstairs
Hebu weka hapa hivo viporo 9 ambavyo Simba alikuwa navyo ili uwasaidie wasio na data, unashindwa kuelewa kuwa ligi ilisimama almost mwezi mmoja Kwa ajili ya janga la Corona na msiba wa raisi na kupelekea kuathiri ratiba za mechi kadhaa Ila bado Simba hakufikisha ata viporo 5 Ila wewe hapa unakuja na Uongo wa viniweni eti viporo 9, pia kaangalie ligi ya Egypt Al Ahly ana viporo vingapi Hadi sasa ili ujifunze
Usimba na uyanga usifanye mtu ujidharirishe na kuonekana mjinga mjinga kisa Tu unataka kufurahisha nafsi yako na baadhi ya washabiki maandazi maana wapo ambao watakuunga Tu mkono kisa ni yanga wenzio ata uandike ujinga, kaangalie goli la yanga wanachomoa mbele ya Mtibwa kule morogoro likifungwa na adeyun uone linautofauti gani na la Simba Vs Azam
humu ndani kuna watu wengi sana wa yanga na wako smart na hawataki kuchangia Kwa mahaba maana hawataki kuonekana Vilaza ilhali kwenye majukwaa Mengine wanapata heshima kutokana na uchangiaji wao madhubuti hivo Mambo Mengine ya kijinga achia washabiki wajinga wajinga wa hizi team wabishane bila facts we ukiwachola Tu na kama utataka kuandika Uzi basi andika Uzi wenye hadhi ya elimu/uelewa wako ili wachangiaji wachangie Kwa maslahi ya soka Letu
Sent using
Jamii Forums mobile app