SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Na hapa ndiyo unathibitisha upopoma wako unabishia jambo usilolijua na bado hutaki kujifunzaNani apoteze bundle kale kuzoma upuuzi. Mazoea ni kama sheria, marefa wetu wana mazoea hayo ya kuanzisha mipira kwenye maeneo yale ya uwanja, hivyo lile sio goli. Ni goli kwakuwa TFF haina ugonvi na simba
Hata penaliti na kona hakuna kusubiriBinafsi nimepata pioint moja hapo kwamba, timu ziige uanzishaji wa faulo kama ule, na marefa wasijekupuliza filimbi kamwe. Wakipuliza tu, watu watarejea goli hili la Simba
Ningekuwa nacheza ligi kuu, mechi ijayo ningeanzisha mpira wa faulo fasta sana!
Kushabikia lini!! Swali gani hilo, tulianza kuangalia mechi live kwa Mzee Sheikh Yahaya wakati wewe hujazaliwa. Stamp ya Kulangwa kwenye bahasha tuliitumiaga wakati wewe ukiwa wapi? Wewe ulianza ushabiki baada ya mo na Karia kuonekana .Lini ulianza kushabikia mpira?. Tuanzie hapo labda.
Who is Mwamusi ?[emoji23][emoji23]
Mbona wewe ndiye unatoka nje ya mada? Mo anahusikaje hapa? Wewe unaipenda Yanga lakini huujui mchezo wa mpira wala sheria zake. Huna tofauti na yule kilaza mwenzako wa Uto aliyesema Yanga itakuwa kama Real Madrid ya Ufaransa. Jaribu kuficha ujinga wako.Ushabiki wako ni wakiwango cha chini sana, jibu hoja kimichezo. Unampenda mo kuliko simba.
Ni swali sahihi sana. Kwa anaejua mpira angalau hata kwa asilimia 30 asingeandika haya uliyoandika hapa.Kushabikia lini!! Swali gani hilo, tulianza kuangalia mechi live kwa Mzee Sheikh Yahaya wakati wewe hujazaliwa. Stamp ya Kulangwa kwenye bahasha tuliitumiaga wakati wewe ukiwa wapi? Wewe ulianza ushabiki baada ya mo na Karia kuonekana .
Wewe wamekutoa marinda njia iko waziiiiii ukitupa kitenesi kinaingia na kutokea mdomoniYanga watakutoa mkono wako wa sweta
Hata penaliti na kona hakuna kusubiri
Nani apoteze bundle kale kuzoma upuuzi. Mazoea ni kama sheria, marefa wetu wana mazoea hayo ya kuanzisha mipira kwenye maeneo yale ya uwanja, hivyo lile sio goli. Ni goli kwakuwa TFF haina ugonvi na simba
Watu sio wajinga kujirisha uhalali wa goli la ovyo kama lile, kwakuwa sio kawaida. Marefa wamezoeleka kukataa mipira ya vile kwenye maeneo kama yale. MpAka marefa wanatembea na chupa za rangi kuchorea viunoni mwao kuweka alama ya ukuta uwe wapi.
Kuanzisha faulo haraka inategemea upo kwenye position gani mkuu!! Ile ni mbinu ya mchezo" unapopata faulo sio kukimbia kimbia tu unaangalia upo kwenye position gani na mara zote timu huwa zinataka ushindi.. Sasa upate faulo katikati ya uwanja unaanzisha haraka kwa lengo gani? Upo kwenye position ya kupata goli au upo katika harakati zakutafuta goli? Ile faulo ya juzi simba Vs azam simba walikuwa kwenye position yakutafuta goli na mazingira yakuanzisha mpira vile ulivyoanza yaliruhusu!!! Kimsingi hakuna kosa na ndo sababu kunapokuwa na faulo alafu kama kuna mzozo na refa inabidi mpira muushike mkononi mpaka mkubaliane na refa ukiweka mpira chini manake apo umeruhusu mpira kuchezwa!!! Ile gemu juzi goli kipa alitakiwa achukue uko mpira kwanza sasa wao wamemvamia refa wameacha mpira... Na ukijiuliza kwann walimvaa refa sababu haipo maana ile kweli ni faulo na mliona morrison kachezewa rafu sasa mwa refa mlimjalia kwann??? Tuache kucheza kwa mazoea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahaba yanakupofusha, unaweza bet hata mkeo.Mbona wewe ndiye unatoka nje ya mada? Mo anahusikaje hapa? Wewe unaipenda Yanga lakini huujui mchezo wa mpira wala sheria zake. Huna tofauti na yule kilaza mwenzako wa Uto aliyesema Yanga itakuwa kama Real Madrid ya Ufaransa. Jaribu kuficha ujinga wako.
Najiambisha!!! Mbeleko ndizo zinazoaibisha kiuhalisia. Ona Al Ahly na Kaizer Chiefs mlizozifunga kwamkapa lwa mizengwe yetu na kushika nafasi za pili kwenye makundi ndizo zinacheza nusu final champions. Janjajanja kila kona kwa miaka 4, mpaka leo timu inacheza viporo, huko ndiyo kujiaibisha original. Uliza timu zote zilizoshiriki champions kama kuna timu ilikuwa na viporo 9 kwenye ligi zao.Refa anapima hatua Kama waliochezewa faulo wanataka Ila Kama wanaanzisha short wanaruhusiwa kuanza tu. Jaribu kuwa mfatiliaji ndugu vinginevyo unakua unajiaibisha tu
Wewe unaweza hata kutoa tigo kwa ushabiki maandazi wako.Mahaba yanakupofusha, unaweza bet hata mkeo.
Wewe jamaa kilaza unabisha jambo usilolifahamuNajiambisha!!! Mbeleko ndizo zinazoaibisha kiuhalisia. Ona Al Ahly na Kaizer Chiefs mlizozifunga kwamkapa lwa mizengwe yetu na kushika nafasi za pili kwenye makundi ndizo zinacheza nusu final champions. Janjajanja kila kona kwa miaka 4, mpaka leo timu inacheza viporo, huko ndiyo kujiaibisha original. Uliza timu zote zilizoshiriki champions kama kuna timu ilikuwa na viporo 9 kwenye ligi zao.
Unajua we jamaa nakukutaga jukwaa la elimu na kuonekana ni mtu ulie elimika Ila linapokuja swala la usimba na uyanga unakuwa kilaza Sana hadi aibu tunaona wengine ambao waga tunahisi uko smart upstairsNajiambisha!!! Mbeleko ndizo zinazoaibisha kiuhalisia. Ona Al Ahly na Kaizer Chiefs mlizozifunga kwamkapa lwa mizengwe yetu na kushika nafasi za pili kwenye makundi ndizo zinacheza nusu final champions. Janjajanja kila kona kwa miaka 4, mpaka leo timu inacheza viporo, huko ndiyo kujiaibisha original. Uliza timu zote zilizoshiriki champions kama kuna timu ilikuwa na viporo 9 kwenye ligi zao.
Ila ww lugha yako bwana eti kipyengaAzam ni toto la Simba, lakini zitakuja timu zinazojitambua halafu zitenge mpira na kucheza bila kipyenga cha refa halafu refa akatae utaona kitakachotokea.
Niambie champions league ya kwanza simba iliyoshinda hadi robo alikuwa na viporo vingapi kama unakumbuka? Na msimu huu alikuwa na viporo vingapi? Kwani corona na msiba uliiathiri simba tu? Ni timu ipi nyingine Africa ina viporo kama vya simba?Unajua we jamaa nakukutaga jukwaa la elimu na kuonekana ni mtu ulie elimika Ila linapokuja swala la usimba na uyanga unakuwa kilaza Sana hadi aibu tunaona wengine ambao waga tunahisi uko smart upstairs
Hebu weka hapa hivo viporo 9 ambavyo Simba alikuwa navyo ili uwasaidie wasio na data, unashindwa kuelewa kuwa ligi ilisimama almost mwezi mmoja Kwa ajili ya janga la Corona na msiba wa raisi na kupelekea kuathiri ratiba za mechi kadhaa Ila bado Simba hakufikisha ata viporo 5 Ila wewe hapa unakuja na Uongo wa viniweni eti viporo 9, pia kaangalie ligi ya Egypt Al Ahly ana viporo vingapi Hadi sasa ili ujifunze
Usimba na uyanga usifanye mtu ujidharirishe na kuonekana mjinga mjinga kisa Tu unataka kufurahisha nafsi yako na baadhi ya washabiki maandazi maana wapo ambao watakuunga Tu mkono kisa ni yanga wenzio ata uandike ujinga, kaangalie goli la yanga wanachomoa mbele ya Mtibwa kule morogoro likifungwa na adeyun uone linautofauti gani na la Simba Vs Azam
humu ndani kuna watu wengi sana wa yanga na wako smart na hawataki kuchangia Kwa mahaba maana hawataki kuonekana Vilaza ilhali kwenye majukwaa Mengine wanapata heshima kutokana na uchangiaji wao madhubuti hivo Mambo Mengine ya kijinga achia washabiki wajinga wajinga wa hizi team wabishane bila facts we ukiwachola Tu na kama utataka kuandika Uzi basi andika Uzi wenye hadhi ya elimu/uelewa wako ili wachangiaji wachangie Kwa maslahi ya soka Letu
Sent using Jamii Forums mobile app