Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu 12 kamili waangalie wana wa msimbazi wanavyochukua ubingwa kwa jirani ugomvi tu najua umeamia huku kupunguza stress.Leo ni fainali ya CECAFA,naomba kujua muda,mechi itakuwa saa ngapi?
Vibabu fc wameshakumuliwa, mtoto Idd kaishazua balaaKimya hiki cha kuto toa matokeo hapa simba lazima atakuwa kwenye hali ngumu
Vibabu fc wameshakamuliwa, mtoto Idd kaishazua balaa
Kumbe ndo maana watu wamepotea, azam fanyeni hivyohivyo mpaka mwisho hakuna cha Kagere wala nani mpaka mpira uisheVibabu fc wameshakumuliwa, mtoto Idd kaishazua balaa
Kwa kele zote zile za usajili kama matokeo ni hivi sidhani kama mwaka ujao simba atachukua kombe loloteDakika ya 68
Azam 2 Simba 1
Dakika ya 85Kwa kele zote zile za usajili kama matokeo ni hivi sidhani kama mwaka ujao simba atachukua kombe lolote
Kwa kele zote zile za usajili kama matokeo ni hivi sidhani kama mwaka ujao simba atachukua kombe lolote