Mechi ya simba na Azam saa ngapi?

Mechi ya simba na Azam saa ngapi?

Nanyi yeboyebo mwaka huu mnatoka kapa kabisa. Mna bado mechi ngumu kimataifa lakini hamfanyi matayarisho yoyote isipokuwa muda mwingi mnatumia kumng'ang'ania Manji arudi.
Yeboyebo ni jeuri hana mda wa kung'ang'ana pale anapoona kushinda siyo rahisi
 
mpiraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Duh mayeboyebo woote eti wamehamia Azam baada ya kumaliza msimu bila hata ya kijiko, achilia mbali kikombe. Lol!
 
Duh mayeboyebo woote eti wamehamia Azam baada ya kumaliza msimu bila hata ya kijiko, achilia mbali kikombe. Lol!
Unavyoshabikia kombe la dunia linaloendelea huko urusi kuna timu ya Tanzania(taifa stars)?
 
Wazee wa Kikosi kipana vipi tena leo kagere mviziaji hakucheza? Hahaha
 
Back
Top Bottom