Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kila la heri Azam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeboyebo ni jeuri hana mda wa kung'ang'ana pale anapoona kushinda siyo rahisiNanyi yeboyebo mwaka huu mnatoka kapa kabisa. Mna bado mechi ngumu kimataifa lakini hamfanyi matayarisho yoyote isipokuwa muda mwingi mnatumia kumng'ang'ania Manji arudi.
Mkuu, VP matokeo..?Kila la heri Azam
Azam 2 : Wamatopeni 1Mkuu, VP matokeo..?
Yeboyebo ni jeuri hana mda wa kung'ang'ana pale anapoona kushinda siyo rahisi
Vizur sana maana hata Mikia SC kilele nyng.. Sasa Leo wamerambwa na rambaramba SCAzam 2 : Wamatopeni 1
Azam bingwa wa CECAFA KAGAME CUP 2018
Unavyoshabikia kombe la dunia linaloendelea huko urusi kuna timu ya Tanzania(taifa stars)?Duh mayeboyebo woote eti wamehamia Azam baada ya kumaliza msimu bila hata ya kijiko, achilia mbali kikombe. Lol!
WameshachukuaMkuu 12 kamili waangalie wana wa msimbazi wanavyochukua ubingwa kwa jirani ugomvi tu najua umeamia huku kupunguza stress.