Mechi ya simba na Azam saa ngapi?

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Leo ni fainali ya CECAFA,naomba kujua muda,mechi itakuwa saa ngapi?
 
Mi mwenyewe nasubiri hayo matokeo labda hakuna anayeangalia mechi hiyo
 
Kimya hiki cha kuto toa matokeo hapa simba lazima atakuwa kwenye hali ngumu
 
Matokeo ni 1:1 Dakika ya 62
 
Simba ndio wamesawazisha goli dakika ya 61
 
Dakika ya 68

Azam 2 Simba 1
 
dakika 90 zimemalizika zimeongezwa 4
hahahahaha simba mashoga tu timu imejaa mababu kibao wanakimbizwa mbaya na vijana wa chamazi hapa
 
Kwa kele zote zile za usajili kama matokeo ni hivi sidhani kama mwaka ujao simba atachukua kombe lolote

Nanyi yeboyebo mwaka huu mnatoka kapa kabisa. Mna bado mechi ngumu kimataifa lakini hamfanyi matayarisho yoyote isipokuwa muda mwingi mnatumia kumng'ang'ania Manji arudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…