Mechi ya Simba Na Yanga mpaka Sasa hivi network ya tiketi haipo Sawa . What is going on?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
HII Ni hujuma ama Nini? Rudisheni mtandao nyie sio mtandao unarudi saa tisa Na foleni ya kuingia uwanjani unaingia ndani dakika ya ishirini wakati mayele Kisha fanya yake
 
Mfumo wa N-Card umetingwa ila kuna jamaa hapa anasema mashine yake kaunga wifi kwenye simu yake bado anaendelea kukamua,anatap card na zinakubali.
 
Yupo wapi?
 
Back
Top Bottom