LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 18,037 Reaction score 33,681 Dec 11, 2021 #1 HII Ni hujuma ama Nini? Rudisheni mtandao nyie sio mtandao unarudi saa tisa Na foleni ya kuingia uwanjani unaingia ndani dakika ya ishirini wakati mayele Kisha fanya yake
HII Ni hujuma ama Nini? Rudisheni mtandao nyie sio mtandao unarudi saa tisa Na foleni ya kuingia uwanjani unaingia ndani dakika ya ishirini wakati mayele Kisha fanya yake
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Dec 11, 2021 #2 Mfumo wa N-Card umetingwa ila kuna jamaa hapa anasema mashine yake kaunga wifi kwenye simu yake bado anaendelea kukamua,anatap card na zinakubali.
Mfumo wa N-Card umetingwa ila kuna jamaa hapa anasema mashine yake kaunga wifi kwenye simu yake bado anaendelea kukamua,anatap card na zinakubali.
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 18,037 Reaction score 33,681 Dec 11, 2021 Thread starter #3 NAWATAFUNA said: Mfumo wa N-Card umetingwa ila kuna jamaa hapa anasema mashine yake kaunga wifi kwenye simu yake bado anaendelea kukamua,anatap card na zinakubali. Click to expand... Yupo wapi?
NAWATAFUNA said: Mfumo wa N-Card umetingwa ila kuna jamaa hapa anasema mashine yake kaunga wifi kwenye simu yake bado anaendelea kukamua,anatap card na zinakubali. Click to expand... Yupo wapi?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 11, 2021 #4 Network vipi sasa hivi?