Mechi ya Simba Na Yanga mpaka Sasa hivi network ya tiketi haipo Sawa. What is going on?

Mechi ya Simba Na Yanga mpaka Sasa hivi network ya tiketi haipo Sawa. What is going on?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
HII Ni hujuma ama Nini? Rudisheni mtandao nyie sio mtandao unarudi saa tisa Na foleni ya kuingia uwanjani MTU unaingia ndani dakika ya ishirini wakati mayele Kisha fanya yake
 
Mwisho wa siku watakuja na majibu mepesi. Watasema nunueni tickets siku nne au tano kabda ya mechi. Siku ya mchezo mtandao unakua umezidiwa😀
 
Nilishaacha kwenda uwanja wa taifa kuangalia mpira kwa sababu ya mfumo mbovu wa kukata tiketi na kuingia uwanjani
 
Back
Top Bottom