LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 18,037 Reaction score 33,681 Dec 11, 2021 #1 HII Ni hujuma ama Nini? Rudisheni mtandao nyie sio mtandao unarudi saa tisa Na foleni ya kuingia uwanjani MTU unaingia ndani dakika ya ishirini wakati mayele Kisha fanya yake
HII Ni hujuma ama Nini? Rudisheni mtandao nyie sio mtandao unarudi saa tisa Na foleni ya kuingia uwanjani MTU unaingia ndani dakika ya ishirini wakati mayele Kisha fanya yake
S Sesten Zakazaka JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 10,559 Reaction score 19,101 Dec 11, 2021 #2 Mwisho wa siku watakuja na majibu mepesi. Watasema nunueni tickets siku nne au tano kabda ya mechi. Siku ya mchezo mtandao unakua umezidiwa😀
Mwisho wa siku watakuja na majibu mepesi. Watasema nunueni tickets siku nne au tano kabda ya mechi. Siku ya mchezo mtandao unakua umezidiwa😀
Basima Ogenze JF-Expert Member Joined Aug 14, 2015 Posts 786 Reaction score 881 Dec 11, 2021 #3 Nilishaacha kwenda uwanja wa taifa kuangalia mpira kwa sababu ya mfumo mbovu wa kukata tiketi na kuingia uwanjani
Nilishaacha kwenda uwanja wa taifa kuangalia mpira kwa sababu ya mfumo mbovu wa kukata tiketi na kuingia uwanjani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 11, 2021 #4 Mechi ishaisha...