Mechi ya Simba na Yanga

Mechi ya Simba na Yanga

boy 1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
414
Reaction score
395
Nawahurumia sana mashabiki wa timu itakayofungwa hiyo kesho

Tatizo linakuja wakati wa kurudi Dar

Yaani umbali unakuwa unauona mara mbili zaidi[emoji23][emoji23][emoji23] hapo taifa tu kuitafuta kigamboni napaona kama Arusha nikifungwa [emoji23][emoji23][emoji23] sembuse kigoma

Ni Bora sisi wa kwenye tv nikifungwa nazma nalala
 
Nawahurumia sana mashabiki wa timu itakayofungwa hiyo kesho
Tatizo linakuja wakati wa kurudi dar
Yaani umbali unakuwa unauona mara mbili zaidi[emoji23][emoji23][emoji23] hapo taifa tu kuitafuta kigamboni napaona kama Arusha nikifungwa [emoji23][emoji23][emoji23] sembuse kigoma
Ni Bora sisi wa kwenye tv nikifungwa nazma nalala
[emoji3][emoji3][emoji3] na raia wengi hawakuwaza namna yakurudi ukiwa umefungwa....!!!! Na sijui uko kwa treni itakuwaje maana lazima wazichape wakati wakurudi
 
Narudi na litreni napiga gambe sina habari[emoji481][emoji481][emoji1634][emoji485][emoji1635][emoji482][emoji483]🧉[emoji491][emoji490][emoji3052]
 
[emoji3][emoji3][emoji3] na raia wengi hawakuwaza namna yakurudi ukiwa umefungwa....!!!! Na sijui uko kwa treni itakuwaje maana lazima wazichape wakati wakurudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani tension imekua kubwa watu hadi wanachukiana kisa mpira badala iwe ni symbol ya upendo ila simba kisaikologia wameishafungwa manake ndio wanaonekana kupaniki zaidi
 
Simba tulieni makwenu sikilizeni mpira redioni ili kujipunguzia aibu isiyo ya lazima
 
Yaani kesho simba anaenda kutandikwa na kipigo cha mbwa koko!
 
[emoji3][emoji3][emoji3] na raia wengi hawakuwaza namna yakurudi ukiwa umefungwa....!!!! Na sijui uko kwa treni itakuwaje maana lazima wazichape wakati wakurudi
Madilu aliisha toa mwelekeo.... Timu itakayofungwa mashabiki wake wahamie Burundi, ...Timu itakayoshinda mashabiki wake itabidi wafanye sherehe kwenye treni siku tatu kabla ya kufika Dar.
 
yani tension imekua kubwa watu hadi wanachukiana kisa mpira badala iwe ni symbol ya upendo ila simba kisaikologia wameishafungwa manake ndio wanaonekana kupaniki zaidi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] acha uchawi mwanangu
 
Madilu aliisha toa mwelekeo.... Timu itakayofungwa mashabiki wake wahamie Burundi, ...Timu itakayoshinda mashabiki wake itabidi wafanye sherehe kwenye treni siku tatu kabla ya kufika Dar.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sasa wakipanda treni moja walahi wanatandikana.... Maana burundi hakuendeki
 
bila yule pumbavu kupewa kadi nyekundu tulikua tunashinda hii
Chanzo ni yule Boko Haram!! Ngoja msimu ujao tumsajili yule mbabe wake Juma Nyoso ili awe anamshughulikia yeye tu wakati wa mechi!
 
Adventure Connection
Saratoga
SATCO
AN
Ntomola
Arizon
Ukipanda Hizo Mpaka Dodoma Nyingine Dar es Salaam
Sasa Utaamua Mwenyewe Hapo 😂😁😅😃😂😁😀
 
Back
Top Bottom