Mechi ya Simba ni saa ngapi?

Hii mechi inaanza saa ngapi. Tuambiane jamani wengine tunaishi vijijini.
a.k.a shibekijijini
Bora hata ukajificha tu huko huko! Usipoteze kabisa muda wako kumuangalia Super Bernard Morrison MB3 akitembea eti juu ya mpira ⚽🚢😁😁😁😁
 
Bora hata ukajificha tu huko huko! Usipoteze kabisa muda wako kumuangalia Super Bernard Morrison MB3 akitembea eti juu ya mpira ⚽🚢😁😁😁😁
Dah mkuu kwa taarifa nilizonazo Simba inakwenda kombe la shirikisho. Safi sana. Naamini huko itaingia fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…