Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mind gameJana kocha wa galaxy alikuwa anaongea kinyonge sana. Sikumuelewa ni uoga au ni mbinu za medani??
Anafahamu mziki wa kwa mkapa Giants wote wa Africa hawatokiJana kocha wa galaxy alikuwa anaongea kinyonge sana. Sikumuelewa ni uoga au ni mbinu za medani??
Kumi jioni ila tuna machungu ya biashara UnitedHii mechi inaanza saa ngapi. Tuambiane jamani wengine tunaishi vijijini.
a.k.a shibekijijini
Haya mashindano ya shirikisho yalikuwa mzigo mzito kwa Biashara japo hawawezi kukiri hilo.
Simba atusikiagi maneno.kwa Mkapa tunapiga kichwa mpaka kinasagika.Jana kocha wa galaxy alikuwa anaongea kinyonge sana. Sikumuelewa ni uoga au ni mbinu za medani??
Kwa Simba ipiSaa kumi kamili Galaxy anaenda kupigwa 4-0
Simba hii iliyoipeleka Yanga CAFCL.Kwa Simba ipi
Aongee kinyonge aongee kitemi kipigo kipo pale paleSaa kumi kamili Galaxy anaenda kupigwa 4-0
Mwaka jana MUDI alihonga sana michuano hii, mpaka mwenyewe akawa anasema amekula hasara sana.Leo ndio tutajua kocha wa Simba ana vyeti au hana vyeti.
Bora hata ukajificha tu huko huko! Usipoteze kabisa muda wako kumuangalia Super Bernard Morrison MB3 akitembea eti juu ya mpira ⚽🚶😁😁😁😁Hii mechi inaanza saa ngapi. Tuambiane jamani wengine tunaishi vijijini.
a.k.a shibekijijini
mkuu upo wapiSaa kumi kamili Galaxy anaenda kupigwa 4-0
Dah mkuu kwa taarifa nilizonazo Simba inakwenda kombe la shirikisho. Safi sana. Naamini huko itaingia fainali.Bora hata ukajificha tu huko huko! Usipoteze kabisa muda wako kumuangalia Super Bernard Morrison MB3 akitembea eti juu ya mpira ⚽🚶😁😁😁😁