Mechi ya Simba ns Azam, Mwamuzi hakunyima penati pande zote?

Mechi ya Simba ns Azam, Mwamuzi hakunyima penati pande zote?

Hakuna mpigania haki hapo huyo hajapata fursa tu yakupiga.
Uyu jamaa kipind cha kupanga juhud za jiwe,alikuwa analaani sana kitendo hicho,ila leo anaunga mkono utopolo kupewa penati ya nje ya box,kajificha kwenye mechi za nyuma,ushabiki mandaz
 
Bora hapo aliona amekosea kutompa Azam akaja akabalance na Simba ilipokosea. So wote walinyimwaaa loose loose situation [emoji38] [emoji38]
Marefa wa kubalansi gender. Jana refa kachanganyikiwa mpaka kashindwa kujua Nani alianzisha mpira kipindi cha Kwanza kipindi cha pili kinaanza anataka Yanga waanzishe tena wakati ndio walioanzisha Mechi. Kabalansi Kwa kutompa Kagoma Kadi nyekundu Kwa kumrukia Kibwana kisa alikuwa amewapa Yanga penati iliyostahili.
 
Mimi ni Yanga na niwe wazi tu siuungi mkono maamuzi mabovu ya Waamuzi na huwa najiuliza ni hatua gani huchukuliwa kwa waamuzi wanaofanya maamuzi mabovu?

Binafsi ndio maana siku zote mimi huwa naunga mkono mstumizi ya VAR ingawa kuna watu wanapinga halafu watu hao hao wanalalamika maamuzi mabovu ya waamuzi kwenye ligi yetu.

Tukirudi kwenye mada, mechi ya juzi ya Simba na Azam, hakukuwa na maamuzi mabovu ya pande zote kunyimwa penalti?

Kama maamuzi yale uliyaunga mkono, basi huna haki ya kuhoji wala kulalamiikia maamuzi ya Mechi ya leo baina ya Yanga na Geita Gold.

Ukipenda boga, penda na ua lake.

TFF huu ujinga katika soka letu ufike mwisho. Inaboa sana.

Kama waamuzi hawana viwango, wapigwe chini.

Tumechoka.
Ni bora kukataa goli halali kuliko kuruhusu goli lisilo halalli.
 
Back
Top Bottom