Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imefanya marekebisho kwenye ratiba ya michezo miwili ya Simba SC kutokana na sababu mbalimbali za kiufundi.
Mchezo wa Simba SC dhidi ya Singida Big Stars, ambao awali haukuwa na tarehe maalum, sasa umepangwa kuchezwa tarehe 28 Desemba 2024 kwenye Uwanja wa Liti, mkoani Singida.
Pia, Soma:
• RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC
• Mechi ya kiporo ya Simba dhidi ya JKT Tanzania kuchezwa Disemba 24, KMC Complex
Hata hivyo, mechi ya Simba SC dhidi ya Tabora United, ambayo ilitarajiwa kuchezwa siku hiyo hiyo kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora, imeondolewa kwenye ratiba na itapangiwa tarehe mpya.