Mechi ya Simba SC na Yanga SC ushirikina ndio ulitawala

Mechi ya Simba SC na Yanga SC ushirikina ndio ulitawala

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Najua mlioangalia game kwa TV kuna matukio hamkuoneshwa acha niwaibie kidogo;

Inonga na Ntiba, ndio walikua waamuzi wa game (wazee wa hesabu na namba). Kwanza wote hawakupiga picha za pamoja (picha ya kikosi) sababu kila mtu alikua anamtegea mwenzie nani awe wa mwisho kuingia

Pili Inonga akaingilia upande wa Yanga halafu akahype mashabiki lakini second half Ntiba akalipa japo Inonga alisahau akafanywa kukumbushwa na BM. Ngoma ikalala sare wataalmu wa mambo wanasema mzani ulibalance

Full time Yanga 0-0 Simba

Credit: @PresenterNoah

IMG_20220502_133233.jpg


IMG_20220502_133252.jpg


IMG_20220502_133248.jpg
 
Hahahaha ngoja ncheke kwanza
 
"Inonga akaingilia upande wa Yanga halafu akahype mashabiki lakini second half Ntiba akalipa japo Inonga alisahau akafanywa kukumbushwa na BM"

HAPA NAOMBA PICHA AU VIDEO YA HILI TUKIO
 
Back
Top Bottom