The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hii iwafikie popote mlipo hasa ambao hamjachanja 👇.
Source- The citizen.
Source- The citizen.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimnofwela bee,unogageKamwene
Chanjo haikuzuii kupata ugonjwa.Hii iwafikie popote mlipo hasa ambao hamjachanja [emoji116].
Source- The citizen.
View attachment 2051411
Endelea kutapeliwaChanjo haikuzuii kupata ugonjwa.
Mafua makaliHio several fluu ndo nini
Jiongeze mkuuHio several fluu ndo nini
Ila itasaidia usiumwe ukipata UgonjwaChanjo haikuzuii kupata ugonjwa.
"Usiumwe ukipata ugojwa"Ila itasaidia usiumwe ukipata Ugonjwa
Iko hivi, Kwa SASA tuna Chanjo ya TB, Basically, ukipima watu at randomly, utagundua wengi Wana TB, Ila Hawaumwi, Chanjo haikufanyi usipate Ugonjwa, rather in train your Immune System namna kumalizana na Virus ama Bacteria wa Ugonjwa Wakiingia Mwilini."Usiumwe ukipata ugojwa"
Hii sentence ngumu kuimeza hii,
ila niletee Gwajimaaa, niletee Gwajimaaa, niletee Gwajimaaa!!
Wangapi wapo isiiyuu, au wanahali mbaya, au ni hali ya kawaida tu.Nani kakufanganya wachezaji wa Simba hawajapewa jab...???
Umesahau hao wachezaji na wale wa Yanga ndio walikuwa moja ya Watanzania wa kwanza kupokea chanjo kuunga mkono juhudi...
Simba walitutangazia kuwa wachezaji wao wote wamechanjwa ili kupunguza kubambikiwa COVID-19 ugenini kwenye michuano ya CAF, sasa kimetokea nini?Hii iwafikie popote mlipo hasa ambao hamjachanja [emoji116].
Source- The citizen.
View attachment 2051411
Ila itasaidia usiumwe ukipata ugonjwa?Ila itasaidia usiumwe ukipata Ugonjwa
Na Kagera je?Simba walitutangazia kuwa wachezaji wao wote wamechanjwa ili kupunguza kubambikiwa COVID-19 ugenini kwenye michuano ya CAF, sasa kimetokea nini?
Vv